The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
- Thread starter
- #21
sijakuelewa mkuu, video ya kwanza ni mbunge kachomewa jumba lake pamoja na kuku wamechomwa elf10 na magari yake tazama vdeo nimeiwekaU
Zuri so mbunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijakuelewa mkuu, video ya kwanza ni mbunge kachomewa jumba lake pamoja na kuku wamechomwa elf10 na magari yake tazama vdeo nimeiwekaU
Zuri so mbunge
Kama kichwa cha habari kinavyosema jumba la kifahari la mbunge aliyekubali ule muswada wa kuwafanya wakenya kuwa watumwa katika ardhi yao, limeunguzwa, mifugo, magari ya gharama yote vimechomwa
VIVA GEN-Z WACHA SISI TUENDELEE KUTYPE KUHUSU SATIVA HAPA JAMII FORUMS
MLALE UNONO KWAKO johnthebaptist
View: https://www.youtube.com/watch?v=lnphxaOw63w
Je wakimuua napo bima italipa,nauliza tu?Hakuna hasara hapo.
Hivyo vyote vina bima, atalipwa kila kitu na nyongeza juu
Atalipwa na MUUMBA wake sawasawa na matendo yakeJe wakimuua napo bima italipa,nauliza tu?
KDF HAIWEZI KUPAMBANA NA WINGI WA VIJANA KARIBIA 300k utaua Halafu uishiwe kushitakiwa. ILA polisi wapo tazama vdeo pale juu ikulu ndogo naadhi ya Polisi wamekimbiaKwani KDF wame kimbilia super market tena au
Hata israeli ilikuwa ikipokea maagizo kutoka kwa mungu msichukue hata dhahabu wala mifugo.Sija ona kosa la kuku ..hawa vijana ni hopeless iyo mifungo si biashara iyo na mboga una beba
Slum dwellers kuna kile kitabu cha literature kilitungiwa slums za Kenya sikumbuki Jina Nairobi ni Jiji Ila kuna slum 1 ya ajabu Tandale kuzuriIkulu wameshindwa kwenda wanavamia makazi ya watu sasa doh
yatakuja tu watu watakapochokaDuuh hizi mambo mbona tz hazihappen.
nakubaliana na wewe Zakayo hana muda mrefu kwa hili seke seke analopitia. Aliwa underate vijana akajua kumwaga jeshi ni njia mbdala tazama video kule almost 300k Gen z mpaka Polisi wanapanda magari wanakimbiaI Wonder Who Is Behind All This I See Zakayo Living The House
Kwa Tz hapanaNi afadhali jeshi lichukue nchi tu!
Raia Ruto nchi imeshamshinda
Kwanini hizi serikali zinang'ang'ana na sera au sheria ambazo wananchi hawazitaki???
Katika situation kama hii ya umati mkubwa hivi utarusha bomu au risasi wapi? Utaua watu wote hawa?
Hili hata Tanzania linakuja
lisubirie maeneo ya porini mkuu😂Nasubiri bus la timu ya namungo nivunje vioo hapa