Jumba la kifahari la Mbunge Bilionea lateketezwa, magari, mifugo vyaharibiwa vibaya +254

Wakenya wanafurahisha sana wao wenyewe kutuliza vurugu kwao hawawezi, ndio wanataka kupambana na wahuni wa Haiti wenye silaha.

Hao vijana sio waandamanaji ni wahuni, last time walivamia shamba la Kenyatta na kuondoka na mifugo kadhaa; mbuzi wakiwa wengi na kwenye shamba la Ruto nako walifanya uharibifu.

Sasa hayo maandamano ya kutaka mabadiliko au vijana wahuni tu.
 
Wakenya wanafurahisha sana wao wenyewe kutuliza vurugu hawawezi, ndio wanataka kupambana na wahuni wa Haiti wenye silaha.

Hao vijana sio waandamanaji ni wahuni, last time walivamia shamba la Kenyatta na kuondoka na mifugo kadhaa; mbuzi wakiwa wengi na shamba la Ruto walifanya uharibifu.

Sasa hayo maandamano ya kutaka mabadiliko au vijana wahuni tu.
Wahuni
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema jumba la kifahari la mbunge aliyekubali ule muswada wa kuwafanya wakenya kuwa watumwa katika ardhi yao, limeunguzwa, mifugo, magari ya gharama yote vimechomwa
VIVA GEN-Z WACHA SISI TUENDELEE KUTYPE KUHUSU SATIVA HAPA JAMII FORUMS
MLALE UNONO KWAKO johnthebaptist

View: https://www.youtube.com/watch?v=lnphxaOw63w

Ni upumbavu tu, kuku pia wamewakosea nini mpaka wawauwe! Hata kama ni maandamano lakini sio hivyo tena! Fanyeni maandamano kwa amani, na sio kufanya uharibifu na kupora mali za watu, ni ujahili.
 
Wakenya wanafurahisha sana wao wenyewe kutuliza vurugu kwao hawawezi, ndio wanataka kupambana na wahuni wa Haiti wenye silaha.

Hao vijana sio waandamanaji ni wahuni, last time walivamia shamba la Kenyatta na kuondoka na mifugo kadhaa; mbuzi wakiwa wengi na kwenye shamba la Ruto nako walifanya uharibifu.

Sasa hayo maandamano ya kutaka mabadiliko au vijana wahuni tu.
Juzi nimeona majeshi ya Kenya yanawasili Hait port prince.
 
Afadhali ata ingekuwa jeshi wamepeleka polisi ku-deal na wahuni wenye kutumia silaha hadi kuisumbua serikali ya Haiti. Polisi hao hao awawezi zuia vijana wenye hasira tu uko kwao.

Majirani zetu wazimu kweli, imagine hapo ndio raisi wao kaitisha temporary ‘martial law’ ku-deal na temporary social unrest.

Hilo jeshi umeliona mtaani likidhurura na police presence to deter some protesters.

Ni sawa na Nigeria wanatumia hela nyingi kwenye defenfe katika nchi za Africa, lakini jeshi lao ni poorly trained.
 
Lakini unajua kule wamepeleka bodies tu, viongozi vinara wa Haiti ni Marekani, hao ndio watakao simamia operation nzima, hawakutaka kuonekana wamehodhi kila kitu, wakatafuta kibaraka wakamlipa posho akatoa wanajeshi.
Ruto alialikwa Ikulu huko Marekani hiyo ilikuwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Wakenya sasa wanaanza kuzingua, walichokua wanakiprotest wamekipata lakin sasa bado wanaendelea kuprotest, ama hiyo ilikua ni gear tu kuna lingine nyuma ya pazia maana siasa za kenya zimejaa ukabila sana.

That is to much aise.
 
Lakini unajua kule wamepeleka bodies tu, viongozi vinara wa Haiti ni Marekani, hao ndio watakao simamia operation nzima, hawakutaka kuonekana wamehodhi kila kitu, wakatafuta kibaraka wakamlipa posho akatoa wanajeshi.
Ruto alialikwa Ikulu huko Marekani hiyo ilikuwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
There is some truth to that.

US ndio ina fund kila kitu.

Kambi wanajenga wao, silaha wanatoa wao, vitendea kazi wanatoa na training ni wao.

Iła Kenya sio wa kwanza, they have provided the same support to many neighbouring countries na wote wqmekimbia.

US has interest in Haiti nadhani sukari yao inatoka huko na kahawa nadhani or some other agriculture product. They can’t commit full time na upuuzi wa huko but they can afford to pay $2 billion for someone else to deal with that nonsense.

Ukipata mpuuzi ambae yupo tayari kujitolea kama Kenya, US are happy to pay for their costs.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema jumba la kifahari la mbunge aliyekubali ule muswada wa kuwafanya wakenya kuwa watumwa katika ardhi yao, limeunguzwa, mifugo, magari ya gharama yote vimechomwa
VIVA GEN-Z WACHA SISI TUENDELEE KUTYPE KUHUSU SATIVA HAPA JAMII FORUMS
MLALE UNONO Gen-z wakimaliza kenya karibu tanzania tutaanzia kwa yule profesor wa uchumi wa kukamuwa wananchi. . Ccm msifikiri mtaendelea kula kodi za wanachi huku mkituambia masikini hakopi. Kunasiku masikini hao hao watakuja kuchukuwa v8 zao bila leseni ya kuziendesha.
 
There is some truth to that.

US ndio ina fund kila kitu.

Kambi wanajenga wao, silaha wanatoa wao, vitendea kazi wanatoa na training ni wao.

Iła Kenya sio wa kwanza, they have provided the same support to many neighbouring countries na wote wqmekimbia.

US has interest in Haiti nadhani sukari yao inatoka huko na kahawa nadhani or some other agriculture product. They can’t commit full time na upuuzi wa huko but they can afford to pay $2 billion for someone else to deal with that nonsense.

Ukipata mpuuzi ambae yupo tayari kujitolea kama Kenya, US are happy to pay for their costs.
US waliomba askari kutoka kila pande ya dunia, Kenya sio pekeyao, ila walitoa wengi na walisema wataendelea kutoa ikiwa watahitajika. Lakini wanapotoa wanalipwa na US pia, na ndio unaona hata Ruto anakuwa na kiburi.
Operation kama hizo hta Nchi yetu imetoa askari mara kadhaa sehemu mbali mbali, nakumbuka kule DArfur, na hata sasa Nchini Kongo. Kwasababu walipaji wa hizo program walikuwa UN, na US ndiye UN.
 
Back
Top Bottom