Jumba la kifahari la Mbunge Bilionea lateketezwa, magari, mifugo vyaharibiwa vibaya +254

Jumba la kifahari la Mbunge Bilionea lateketezwa, magari, mifugo vyaharibiwa vibaya +254

nakubaliana na wewe Zakayo hana muda mrefu kwa hili seke seke analopitia. Aliwa underate vijana akajua kumwaga jeshi ni njia mbdala tazama video kule almost 300k Gen z mpaka Polisi wanapanda magari wanakimbia
Upo Sahihi mkuu Gen Z wamenikosha hii spirit isambae Africa nzima kufuta hii modern colonisation
 
Kwa Tz hapana
Hapana???

Itakuwa Hapana kweli iwapo serikali itafanya the needful

Ila kwa ujinga huu unaoendelea, nakuhakikishia kuwa Mungu ataachilia hukumu rejeshi hakuna atakaye amini!

Unaifahamu "hukumu rejeshi" wewe?.

Nitakusaidia kukueleza

Ni hukumu ya adhabu ambayo Mungu huitoa yenye lengo la kumrejesha mtu, taasisi au taifa fulani kwenye mstari

Rejea hukumu ya Farao wa Misri ya Kale, Mfalme Nebukaneza nk

Tanganyika tumeshatoka kwenye mstari long time. Mazungumzo na maonyo ya kawaida ya kutuwezesha kupatana wenye mamlaka hawayataki. SASA WATALAZIMISHWA KWA VIBOKO REJESHI huku wao wakiwa pembeni.

Hawatakufa lakini CHA MOTO WATAKIONA!
 
Attachments

  • 5C53A9FD-5D22-4844-8419-47EEA3DF2EBB.jpeg
    5C53A9FD-5D22-4844-8419-47EEA3DF2EBB.jpeg
    133.6 KB · Views: 1
Hakuna hasara hapo.

Hivyo vyote vina bima, atalipwa kila kitu na nyongeza juu
Hakuna Kitu hapo Bima hazilipi kwa janga kama hilo... riot and strike hawalipi.. at least ingekuwa errection all risks na ni siku za chaguzi tu.. huo ujinga wa kipumbavu kwa kumuiga zungu letu lililotoa hoja ya kukatwa ya kuweka na kutolea tukashindwa la kumfanya..

BIMA hazilipi maandamano na fujo.. only majanga fujo ni mipango
 
Asante afisa
 
Back
Top Bottom