Jumba la kifahari la Mbunge Bilionea lateketezwa, magari, mifugo vyaharibiwa vibaya +254

US waliomba askari kutoka kila pande ya dunia, Kenya sio pekeyao, ila walitoa wengi na walisema wataendelea kutoa ikiwa watahitajika. Lakini wanapotoa wanalipwa na US pia, na ndio unaona hata Ruto anakuwa na kiburi.
Operation kama hizo hta Nchi yetu imetoa askari mara kadhaa sehemu mbali mbali, nakumbuka kule DArfur, na hata sasa Nchini Kongo. Kwasababu walipaji wa hizo program walikuwa UN, na US ndiye UN.
Yes US ina fund kila kitu (wamechoka kupeleka watu wao kila siku), ndio maana Ruto alipata mapokezi makubwa alipoenda kule as a volunteer.

Given the current Kenya situation kama polisi wa Kenya (ndio waliopelekwa) huko kwao awawezi zuia watoto wasio na silaha unadhani wanaweza zuia wahuni wa Haiti wenye silaha.

Security issues ya Kenya ni weak, unapoitisha ‘martial law’ kuzuia social unrest kama Ruto alovyofanya sasa hivi ulitegemea strong military presence mtaani (that helps to deter people).

Ni hivi interms of security Kenya ni weak, hawa generation uchawara imeonyesha they are easy to topple.

The government can’t even justify the use of force kwamba awa deal na peaceful protestants but anarchists which entitles them the use of military forces.

Hakuna waandamanaji hapo kuna wahuni na Kenya imeshindwa ku-handle hiyo situation na hii sio mara ya kwanza. Conclusion ni kwamba ulinzi wao ni weak and poorly trained to deal with social unrest.
 
Yes UD ina fund kila kitu (wamechoka kupeleka watu wao kila siku), ndio maana Ruto alipata mapokezi makubwa alipoenda kule as a volunteer.

Given the current Kenya situation kama polisi wa Kenya (ndio waliopelekwa) huko kwao awawezi zuia watoto wasio na silaha unadhani wanaweza zuia wahuni wa Haiti wenye silaha.

Security issues ya Kenya ni weak, unapoitisha ‘martial law’ kuzuia social unrest kama Ruto alovyofanya sasa hivi ulitegemea strong military presence mtaani (that helps to deter people).

Ni hivi interms of security Kenya ni weak, hawa generation uchawara imeonyesha they are easy to topple.

The government can’t even justify the use of force kwamba awa deal na peaceful protestants but anarchists which entitles them the use of military forces.

Hakuna waandamanaji hapo kuna wahuni na Kenya imeshindwa ku-handle hiyo situation na hii sio mara ya kwanza. Conclusion ni kwamba ulinzi wao ni weak and poorly trained to deal with social unrest.
Lakini kumbuka kule wameenda kama volunteer, hawazuii kwa mafunzo na sheria za Kenya, watafuata sheria za mwalimu wao ambaye ni ni US.

Weakness ya security ya Kenya ni Askari kuchoka kutumiwa, kwanini wamlinde Ruto, wakati wao nao wanaathirika na hali ngumu ya maisha.

Wale US wako serious, huku Kenya unaona Askari wazuia maandamano wana piga picha na waandamanaji, na wengine wanatongoza visichana humo.

Kwa maana nyingine maandamano ya Kenya yanakubalika kwenye jamii nzima jeshi na askari wakiwemo, hivyo wana taka yafanikiwe ili nao wafaidi matunda baada ya maandamano.

Askari wa Kenya wana hamasisha maandamano hawazuii.
 
Kazi ya polisi sio siasa kwenye nchi yenye demokrasia bali ni kulinda amani ya nchi.

Hakuna nchi duniani maamuzi ya siasa yanamfurahisha kila mtu. Ni sawa watu ku-protest na serikali kubadili maamuzi kama wanataka kubaki na ushawishi.

Na ni kazi ya vyombo vya ulinzi kuhakikisha hata kama wananchi awakubaliani na maamuzi wasubiri uchaguzi unaofuata wawatoe hao wanasiasa wa hovyo.

Kitendo cha vyombo vyao vya ulinzi kushindwa kuzuia munkari za wananchi kwenye nchi ya demokrasia kama Kenya ambayo uongozi unabadilika kwenye chaguzi. Huu upuuzi unaondelea sasa ni ishara ya weak strategic planning in dealing with social unrest.

Kiongozi hizi siasa za wakenya sio mambo yanayosumbua sana kichwa changu. Binafsi, I get pleasure kuwananga hawa wetu wa hovyo.

Usiku mwema wacha nirudi jukwaa la siasa.
 
Viongozi acheni kutumia nguvu na maneno ya kebehi nguvu ya umma ni mbaya sana inaweza kuleta maisha ya msoto na fedheha kubwa kama umepewa mamalaka na.........

madarak kuwatumia wananchi wako msiwafanye waishi maisha mabaya ya msoto wengi wao ni vijana hawana ajira maisha magumu kijana anaona bora afe tu hana cha kupoteza ashasota sana.......

ashatabika sana nchi yangu jifunzeni hapa wapeni vijana ajira acheni umimi na rushwa kodi mbaya za kuumiza kijana akajiajir hana hata laki umekalia kiti unasema kubeti sijui kutukana mitandaoni lakin unaenda kupitisha bajeti ya kumuuiza mlala hoi nikiwa kama kijana jobless moyo wangu umekufa ganzi ......naiona..
pumzi ya moto natamani hata malaika mtoa roho anichukue nimepitia maisha ya msoto nimepamban mpk kufika level kubwa kielimu lakin sina maisha sina kazi sina mia nikiona familia yangu kijijin mimi ndo kijana tegemezi nipo mjini kuipata elfu kumi ni shida ...
wadogo zangu kijijini dada zangu na ndugu mkombozi wao nimepigika nimefikia sehemu naona bora uhai uondoke nikapumzike ...

Naandika kwa machungu makubwa maisha hayajawai kuwa fair kwa mtoto wa masikini ..
Africa tumepewa kila kitu na mungu akatumyima wazalendo watetezi na wapigania haki bali akatupa viongozi wenye tamaa ... wasiojali kuiba na kula rushwa leo ukiiba hayo mamiliona utakufa utaayacha..
Utazikwa utaoza hizo pesa ambazo umeiba africa ukaenda kuficha ulaya kibaya zaidi hazikupatikana africa bali misaada kutoka ulaya na zikaendwa kufichwa ulaya...
 
Nami nafurahi wanaposhindwa kuzuia kwa sababu hili linaamsha hari kwenye jamii zote. Hawa watawala wamekuwa miungu watu, hawasikii maoni ya wanaowaweka madarakani.

Naelewa maamuzi ya serikali hayamfurahishi kila mtu, lakini kuna wakati wanafanya makusudi kwa sababu tu wao wanaweza. Sioni tatizo la hiyo finance bill kwa sababu haina tofauti na miswada mingine mingi ya hovyo inayopitishwa kivyama.

Athari wanazipata wote, na hawa viongozi husahau sana hivi vyombo vya ulinzi, wanajilipa pesa nyingi malupulupu kibao, wanawasahau walinzi wao. Sasa hapo ndio unaona wanaanza kulaumu hawawezi kazi, mala wazembe, lakini nakwambia wale watu wanajua wanachokifanya, wanaweza kuzuia, lakini wanafanya makusudi.

Nakubaliana nawe kazi ya ulinzi wa nchi ndilo jukumu lao, lakini inakua haileti maana yoyote unapotumia nguvu kulinda wewe, halafu wanasiasa ndio wanafaidi kwa ulafi wao , halafu matatizo yakianza wewe ndio ulinde amani ya nchi.

Wacha kila mtu apate fundisho, Serikali iwafukuze askari na walinzi wote wa nchi, wanasiasa wajilinde wenyewe tuone raha yake.
 
Viongozi acheni kutumia nguvu na maneno ya kebehi nguvu ya umma ni mbaya sana inaweza kuleta maisha ya msoto na fedheha kubwa kama umepewa mamalaka na.........

madarak kuwatumia wananchi wako msiwafanye waishi maisha mabaya ya msoto wengi wao ni vijana hawana ajira maisha magumu kijana anaona bora afe tu hana cha kupoteza ashasota sana.......

ashatabika sana nchi yangu jifunzeni hapa wapeni vijana ajira acheni umimi na rushwa kodi mbaya za kuumiza kijana akajiajir hana hata laki umekalia kiti unasema kubeti sijui kutukana mitandaoni lakin unaenda kupitisha bajeti ya kumuuiza mlala hoi nikiwa kama kijana jobless moyo wangu umekufa ganzi ......naiona..
pumzi ya moto natamani hata malaika mtoa roho anichukue nimepitia maisha ya msoto nimepamban mpk kufika level kubwa kielimu lakin sina maisha sina kazi sina mia nikiona familia yangu kijijin mimi ndo kijana tegemezi nipo mjini kuipata elfu kumi ni shida ...
wadogo zangu kijijini dada zangu na ndugu mkombozi wao nimepigika nimefikia sehemu naona bora uhai uondoke nikapumzike ...

Naandika kwa machungu makubwa maisha hayajawai kuwa fair kwa mtoto wa masikini ..
Africa tumepewa kila kitu na mungu akatumyima wazalendo watetezi na wapigania haki bali akatupa viongozi wenye tamaa ... wasiojali kuiba na kula rushwa leo ukiiba hayo mamiliona utakufa utaayacha..
Utazikwa utaoza hizo pesa ambazo umeiba africa ukaenda kuficha ulaya kibaya zaidi hazikupatikana africa bali misaada kutoka ulaya na zikaendwa kufichwa ulaya...
Hahah Mwigulu alisema hakuna mwanchi atagongewa hodi mlangoni kulipa deni la Taifa, sasa sijui atalipa yeye?
 
Kazi ya polisi sio siasa kwenye nchi yenye demokrasia bali ni kulinda amani ya nchi.

Hakuna nchi duniani maamuzi ya siasa yanamfurahisha kila mtu. Ni sawa watu ku-protest na serikali kubadili maamuzi kama wanataka kubaki na ushawishi.

Na ni kazi ya vyombo vya ulinzi kuhakikisha hata kama wananchi awakubaliani na maamuzi wasubiri uchaguzi unaofuata wawatoe hao wanasiasa wa hovyo.

Kitendo cha vyombo vyao vya ulinzi kushindwa kuzuia munkari za wananchi kwenye nchi ya demokrasia kama Kenya ambayo uongozi unabadilika kwenye chaguzi. Huu upuuzi unaondelea sasa ni ishara ya weak strategic planning in dealing with social unrest.

Kiongozi hizi siasa za wakenya sio mambo yanayosumbua sana kichwa changu. Binafsi, I get pleasure kuwananga hawa wetu wa hovyo.

Usiku mwema wacha nirudi jukwaa la siasa.
We kweli maiti huna akili hata moja
 
wameweka mpaka na mziki kwamba nipo tayari kupambana na sitakuwa tauyari kumuona muovu akitawala aiseeee ni hatari sana inatia moyo 🔥🔥💥
Ni wimbo uliokuwepo

View: https://youtu.be/9HNl8YAnp0Q?feature=shared

Utawala​

Juliani
Lyrics About Tracklist Comments

15.8K2

Utawala Lyrics​

[Hook]
Niko njaa hata siezi karanga
Hoehae shaghala bhaghala
Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi, ubinafsi ukabila
Kuuza sura hawataki kuuza sera
Undugu, ni kufaana
Sitasimama maovu yakitawala
Siatasimama maovu yakitawala

[Verse 1]
Hard kuget wadhifa una-deserve
Bila cash ama kashfa
Hii society kenye wanaweza-
-Share ni nyungu ya busaa
Ama kettle ya shisha
Mfuko zinasikia echo
Utajua thamani ya mali na size ya kufuli, ay-yo
Hujaibiwa juu hauna kakitu worth
Risking jail time, police bullets for
Unaeza argue: Crime doesn't pay
Lakini huezi dismiss justice ina bei
Mwizi ana forty days
3-6-5 days later
Anaendelea ku-grow fatter
Do anything for power
Ready to lose their heads for presidency
Bora waione kwa currency
Sababu gani siko affected na turbulance niki-fly angani
Nimezoea the same feeling matatu zikipitia pothole mtaaani?!
Juliaani! Yeah Yeaaah!

[Hook]
Niko njaa hata siezi karanga
Hoehae shaghala bhaghala
Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi, ubinafsi ukabila
Kuuza sura hawataki kuuza sera
Undugu, ni kufaana
Sitasimama maovu yakitawala
Siatasimama maovu yakitawala

[Verse 2]
Ndio wa raise funds
Itabidi u-raise hands
Growing concern
Breakfast za croissant
Hatutaki upunguze bei ya bidhaa
Tunataka opportunities ndio tu-afford hizo bidhaa
Walisema kutembea kwingi ndio kuona mengi
Nimeshinda nikitembea maofisi na sijawahi ona kazi
Siezi cheza golf venye Tiger would
Mambo si bara bara Ching Wu
Naomba journey mercies
Chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani
Policeman anapiga rungu mwalimu
Daktari anamrushia teargas
Na mtoto wake anarudishwa nyumbani hana school fees analipwa peanuts

[Hook]
Niko njaa hata siezi karanga
Hoehae shaghala bhaghala
Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi, ubinafsi ukabila
Kuuza sura hawataki kuuza sera
Undugu, ni kufaana
Sitasimama maovu yakitawala
Siatasimama maovu yakitawala
[Verse 3]
Sewer za State House na latrine za ghetto
Ziupatana Nairobi river
No more nita live by
Hand-to-mouth
Ushai sikia maskini anaugua gout?
Nikiwa na nguvu ya kung'oa reli definitely
Kuinua kura si nzito
Ukiingiza kwa ballot box chagua kiongozi wa kweli
Moha, John Allan Namu, Jicho Pevu
Wakianika mkono refu ina pick-pocket wanyonge
Navaa mask ka za goal keeper wa hockey
Hawaezi ni-Kerubo
Kenya ni kama boxing, hakuna sub
Work with what we have

[Hook]
Niko njaa hata siezi karanga
Hoehae shaghala bhaghala
Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi, ubinafsi ukabila
Kuuza sura hawataki kuuza sera
Undugu, ni kufaana
Sitasimama maovu yakitawala
Siatasimama maovu yakitawala
 
Angekua ndo Mwigulu kafanyiwa hivyo hakika usiku ningelala usingizi mzuri sana.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema jumba la kifahari la mbunge aliyekubali ule muswada wa kuwafanya wakenya kuwa watumwa katika ardhi yao, limeunguzwa, mifugo, magari ya gharama yote vimechomwa
VIVA GEN-Z WACHA SISI TUENDELEE KUTYPE KUHUSU SATIVA HAPA JAMII FORUMS
MLALE UNONO KWAKO johnthebaptist

Generation Z hiyo....
 
Back
Top Bottom