- Thread starter
- #21
Bidhaa zote unalipia ukishazipokea lakini kinachotokea ni kuwa watu wanaoleta bidhaa ni bodaboda au gari ambao wakifika wanakuachia kabla hujawasha wala kuikagua kama inawaka wanajifanya wako faster kuwahi wateja wengine lakini baada ya kuanza kuiwasha kuangalia tools zingine zinazohusia na hio product utakuta hamna ukiwapigia simu ndo hapo wanaanza mizinguo hadi leoKwani Jumia unalipia kabla ya kuiona bidhaa au baada ya kuiona bidhaa eti...?
Sent using Jamii Forums mobile app