Jumia na tabia ya kuchomoa vifaa kwenye bidhaa wanazouza

Jumia na tabia ya kuchomoa vifaa kwenye bidhaa wanazouza

Kwani Jumia unalipia kabla ya kuiona bidhaa au baada ya kuiona bidhaa eti...?
Bidhaa zote unalipia ukishazipokea lakini kinachotokea ni kuwa watu wanaoleta bidhaa ni bodaboda au gari ambao wakifika wanakuachia kabla hujawasha wala kuikagua kama inawaka wanajifanya wako faster kuwahi wateja wengine lakini baada ya kuanza kuiwasha kuangalia tools zingine zinazohusia na hio product utakuta hamna ukiwapigia simu ndo hapo wanaanza mizinguo hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikumbuka nguo nikiyo order na nguo iliyokuja!!!

Hahaaaaaa
 
Hakuna cha bidhaa ya4m wala kuletewa bidhaa Wewe nikibaraka dona ulizopewa nawpinzani ndozinazo halibu halo yahewa namna hii kutumwa kubaya ndugu yangu fikiri kabla yakutenda
Nyooo kwa akili zako ndo unafikiri hivyo siijui kampuni yoyote inayoshindana na jumia zaidi ya kupatana lakini kupatana hawauzi wao wanaouza ni wateja kwa wateja nako vitu ni vibovu vilevile

Kinachoniumiza zaidi ni pale ambapo wameniuzia bidhaa afu bidhaa yenyewe imekuja haina vitu vyote na nimewapigia simu sana lakini majibu wanayonipa ni ya kisengerema kweli na ni waongo haijapata kutokea nina document zao zote hapa nilipo nasubiri kuwaniga mahakamani maana wamenitia hasara tu

Nachotaka kusema dont trust online bussness bidhaa nzuri na halisi ni ile unayoenda kununua mwenyewe dukani

Kwanza picha ya bidhaa unayowekewa kwenye app yao na bidhaa jinsi ilivyo ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha bidhaa ya4m wala kuletewa bidhaa Wewe nikibaraka dona ulizopewa nawpinzani ndozinazo halibu halo yahewa namna hii kutumwa kubaya ndugu yangu fikiri kabla yakutenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitake kujisafisha au unataka nikupe hadi recorded voice za hao wadada wanaojiita customer care na majina yao ndo uamini

Let say nani kanipa hicho kibarua mzee nina umaarufu gani mie wa kupewa hiko kibarua

Rudisheni hela zangu kama kweli hamtaki kuchafua hali ya hewa hela tunatafuta kwa jasho afu mnaleta shobo kwenye hela yangu kama ni watakatifu nirudishieni hela na mchukue vimeo vyenu

Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidhaa zote unalipia ukishazipokea lakini kinachotokea ni kuwa watu wanaoleta bidhaa ni bodaboda au gari ambao wakifika wanakuachia kabla hujawasha wala kuikagua kama inawaka wanajifanya wako faster kuwahi wateja wengine lakini baada ya kuanza kuiwasha kuangalia tools zingine zinazohusia na hio product utakuta hamna ukiwapigia simu ndo hapo wanaanza mizinguo hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya pole sana ndugu.
 
Mkuu pole sana, labda huo utapeli wameanza sikuhizi, ila Mimi kwa uzoefu wa kununua bidhaa zao,ziko Imara nilinunua friji na pasi mwaka jana mwanzoni mpka Leo zinapiga kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitarajia friji na pasi iwe na upungufu wa accessory zipi? Au wachomoe racks kwenye friji na pasi ichomolewe waya? Ushuhuda wako sio mkuu tutafutie bidhaa zenye accesory

Naona hajielewi huyo

Mfano camera wamechomoa flash ya pembeni,wamechomoa memory mbili ya 16gb na 8gb haya ukija katika upande wa tv za startimes inakuja bila card ya ndani hivyo inakutaka uanze kwenda tena ofisi za startimes kutafuta card nyingine na kwa gharama zingine na vitu vingine kibao na wakati unavofanya order ukiuliza kuwa iko complete wanakujibu ndio iko complete lakini matokeo yake ndo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli Mkuu ulioleta huu uzi,binafsi nakushukuru sana.Sasa hivi nai uninstall App yao niliyoi download.Seriously nilikuwa nimeplan kwenda pale kununua Smart TV 4K LED Samsung 49"lakini sasa nimeshtuka,ningeweza kuuziwa SINGSUNG badala ya Samsung

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo hata hospital ukiwa unafanyiwa operation usipokua makini au ndugu wasipo kuwepo wanaweza kukubadilishia tumbo uwekewe la mtoto au linalovuja , unashaanga unakula hushibi kumbe tumbo limetoboka, Blv me bongo suala lolote lisilo official linawezekana
 
Back
Top Bottom