MASH ABDULRAHMAN
Member
- Apr 28, 2017
- 45
- 18
Hata hivyo memory card ni option, pili ukinunua kitu usinunue bila kusoma package yake ina cover vitu gani?Mleta mada ni mwongo, mm nliagiza tablet na nimeipata jinsi ilivyo uzuri zaidi unalipa ukishaiiona bidhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hakika kama kuna vitu wanachomoa ila mwenyewe tu amekosa umakini kwa sababu kwa kila electronic device wanauza ni lazima waweke Specifications na hautakaa uone memory card kwenye hii na ki msingi hizi ndio husema kitu ambacho unanunua.
Pamoja na yote hayo alikuwa na wajibu wa kujua bei kutoka sehemu mbalimbali kabla ya kuamua kununua jumia, wabongo wengi ni wavivu hata kujua taarifa za vitu wanavyotaka kufanya. Zamani tukiwa tunakua wazazi wetu walikuwa wanatutembeza madukani kuchagua nguo ili kujua bei kutoka kwa wauzaji tofauti; hao Jumia hawako pekeyao hivyo alipaswa kulinganisha bei kutoka sehemu tofauti kabla ya kuja kulalamika hapa.