Jumia na tabia ya kuchomoa vifaa kwenye bidhaa wanazouza

Mleta mada ni mwongo, mm nliagiza tablet na nimeipata jinsi ilivyo uzuri zaidi unalipa ukishaiiona bidhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo memory card ni option, pili ukinunua kitu usinunue bila kusoma package yake ina cover vitu gani?
Sina hakika kama kuna vitu wanachomoa ila mwenyewe tu amekosa umakini kwa sababu kwa kila electronic device wanauza ni lazima waweke Specifications na hautakaa uone memory card kwenye hii na ki msingi hizi ndio husema kitu ambacho unanunua.
Pamoja na yote hayo alikuwa na wajibu wa kujua bei kutoka sehemu mbalimbali kabla ya kuamua kununua jumia, wabongo wengi ni wavivu hata kujua taarifa za vitu wanavyotaka kufanya. Zamani tukiwa tunakua wazazi wetu walikuwa wanatutembeza madukani kuchagua nguo ili kujua bei kutoka kwa wauzaji tofauti; hao Jumia hawako pekeyao hivyo alipaswa kulinganisha bei kutoka sehemu tofauti kabla ya kuja kulalamika hapa.
 
Ninachofahamu kuhusu jumia unalipa baada ya kuuona mzigo wako,unaukagua kama upo sawa kila kitu ndo unalipa....kwa hili nakulaumu wewe mnunuaji.......
 
Hata hivyo memory card ni option, pili ukinunua kitu usinunue bila kusoma package yake ina cover vitu gani?
Sina hakika kama kuna vitu wanachomoa ila mwenyewe tu amekosa umakini kwa sababu kwa kila electronic device wanauza ni lazima waweke Specifications na hautakaa uone memory card kwenye hii na ki msingi hizi ndio husema kitu ambacho unanunua.
Pamoja na yote hayo alikuwa na wajibu wa kujua bei kutoka sehemu mbalimbali kabla ya kuamua kununua jumia, wabongo wengi ni wavivu hata kujua taarifa za vitu wanavyotaka kufanya. Zamani tukiwa tunakua wazazi wetu walikuwa wanatutembeza madukani kuchagua nguo ili kujua bei kutoka kwa wauzaji tofauti; hao Jumia hawako pekeyao hivyo alipaswa kulinganisha bei kutoka sehemu tofauti kabla ya kuja kulalamika hapa.
Mkuu unavojaribu kusema kitu jaribu kusoma na comment baada ya uzi wa mtoa mada kuna vitu vinakuwa costant lazima uuziwe navyo huwezi kuniambia kuwa unavonunua simu eti kupata earphone ni option who tell u?

Huwezi kununua ndoo eti mfuniko ni option rubbish

Hio camera katika tangazo lao wameweka kuwa utapata memory mbili ,flash na asessories zingine lakini kumbuka anayeleta mzigo ni bodaboda ila kavaa jacket la jumia

Na mara nyingi wanakuja usiku sasa wewe kwa kuiona bidhaa iko kama seel uwezi ukamwambia bodaboda subiri three hour mpaka niichaji kisha nianze kuikagua nione kama haina tatizo

Baada ya yeye kuondoka either baada ya siku mbili tu utaanza kuona matatizo ya hio product usishangae unafungua printer haina cable ya kuchajia mara iliandikwa inaweza kuprint A3 baadae uwezo huo haina kisha wapigie uone wanakujibu nini ? Hicho ndo nasemea hapo

Vitu nilivyonunua mimi sio mkanda wala blander

Ni mashine tofauti tofauti

Ukipigwa Mara kwanza Mara ya pili achana nao more than 4m bado tu umekomaa sisi wengine hata tukienda dukani tukajibiwa vibaya ndo bye bye
 
Nenda kariakoo/postal ingia dukani,kagua bidhaa,patana bei,lipia,chukua mzigo.Waafrica kwenye uaminifu ni kubahatisha.Ndio maana wengi wetu tukitaka kununua magari tunaenda yadi za muhindi ambapo nikitapeliwa nitajua pa kuanzia.
 
uzuri kuna option ya kulipa baada ya mzigo kukufikia na kuukagua, sawa wewe kama haukukagua acha upigwe tu ili siku nyingine isijirudie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilinunua vikabati vya canvas! Wakaleta poa tu!
Ila kwenda kufunga ile ‘canvas’ imeoza inachanika yenyewe tu.
Kama hiki.....
IMG_3411.JPG
 
Usitake kujisafisha au unataka nikupe hadi recorded voice za hao wadada wanaojiita customer care na majina yao ndo uamini

Let say nani kanipa hicho kibarua mzee nina umaarufu gani mie wa kupewa hiko kibarua

Rudisheni hela zangu kama kweli hamtaki kuchafua hali ya hewa hela tunatafuta kwa jasho afu mnaleta shobo kwenye hela yangu kama ni watakatifu nirudishieni hela na mchukue vimeo vyenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka uaminike zaidi mkuu uje na tangible evidence ili tusikuone wewe ni popoma. Ungepiga picha za vitu ulivyonunua Jumia na risiti zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli Mkuu ulioleta huu uzi,binafsi nakushukuru sana.Sasa hivi nai uninstall App yao niliyoi download.Seriously nilikuwa nimeplan kwenda pale kununua Smart TV 4K LED Samsung 49"lakini sasa nimeshtuka,ningeweza kuuziwa SINGSUNG badala ya Samsung

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah....Nimecheka sana nilivyosoma hii...asante...
 
Back
Top Bottom