Ina maana tunakuwa na wasomi wenye shahada 3,200,000
Basi tufanye na diploma 3,200,000
6.4M
Idadi ya watu ni milion 70
Au basi takwimu zinaonesha mambo mengii
Hawana faida
Aisee basi sawa
Acheni kutunyanyapaa tusiosoma !
Ngoja nikutafutie uhamisho...Acheni kutunyqnyapaa tusiosoma !
Sijapenda
Awwwwwwwwwwwwwe! Nasubiri kwahamu lo ntafurahijeee!Ngoja nikutafutie uhamisho...
Maombi yenu yapo kibao Dodoma, sema wakurugenzi wenu ndiyo wanawazingua...Awwwwwwwwwwwwwe! Nasubiri kwahamu lo ntafurahijeee!
Wanazingua sio kidogo lo.. Hebu nitoke huku mimiMaombi yenu yapo kibao Dodoma, sema wakurugenzi wenu ndiyo wanawazingua...
Kwingine kote mnajaziwa vizuri, ila kwenye comment section ya wakurugenzi wenu, ndiyo wanavisingizo kibao na wengine never respond...Wanazingua sio kidogo lo.. Hebu nitoke huku mimi
Inasikitisha sanaKwingine lote mnajaziwa vizuri, ila kwenye comment section ya wakurugenzi wenu, ndiyo wanavisingizo kibao na wengine never respond...
Poleni sana...
Tumikia watz bila kuwabaguaInasikitisha sana