Bepari
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 904
- 330
Round down!round up hiyo 0.1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Round down!round up hiyo 0.1
Kwa wanasayansi + au - ni hatari sana, unaweza kusababisha ulemavu au kifo.Kuna estimation.
Mfanoo ruto alipata 50. 4899998. Iwe estimated to 50.49.
Na wengine na wengine..
Kupata margin error ya 0.01 ni kawaida..
Mitihani myema..
PCM...
Kuna haja ya fani zote kusoma basic mathematics chuo kikuu! Makamishna wote waliojitoa wana masters degree eti. Can't imagine Mr Chebukati alivyokuwa anajitahidi kuwaelewesha mpaka wakaamua kuondoka...Kwa hesabu hizo HAKUNA KURA ILIYOHARIBIKA hata 1?
Wote mnaosema estimates basi hamjui hesabu.Hesabu mlisoma wapi View attachment 2325461
Chibukati mitano tena Bila Kupingwa!Kuna haja ya fani zote kusoma basic mathematics chuo kikuu! Makamishna wote waliojitoa wana masters degree eti. Can't imagine Mr Chebukati alivyokuwa anajitahidi kuwaelewesha mpaka wakaamua kuondoka...
Mwenyewe hana interest, kasema uchaguzi wake wa mwisho huu...Chibukati mitano tena Bila Kupingwa!
Aende akale zile Bilioni za dola za kimarekani mpaka mauti ikimpataMwenyewe hana interest, kasema uchaguzi wake wa mwisho huu...
NA Wewe hesabu Zako za wapi..?? Hizo ukipata Hyo 140,000 unagawa Kwa 100, ndo utapta kura hao kamishanas my foot.. kwel hesabu si ya kila mtu. Kamishana mzima anajitutumua anasema ni kura 140,000/14,000,000 x 0.01= kura 140,000 ambazo hata akipewa Baba hashindi ng'ooo
Hajui hata maana ya %...NA Wewe hesabu Zako za wapi..?? Hizo ukipata Hyo 140,000 unagawa Kwa 100, ndo utapta kura hao kamishanas my foot.. kwel hesabu si ya kila mtu. Kamishana mzima anajitutumua anasema ni kura 140,000/
14m × 0.01%14,000,000 x 0.01= kura 140,000 ambazo hata akipewa Baba hashindi ng'ooo
Logic ni wizi wa kura siyo hivyo unavyo dhani kama wameweza kuiba hata kura 2000 je watashindwa nini kuiba 40000014,000,000 x 0.01= kura 140,000 ambazo hata akipewa Baba hashindi ng'ooo
Basi na wale makamishina ni vilaza hatariHesabu mlisoma wapi View attachment 2325461
Rud shule utachekwa bure hapa.Hajui hata maana ya %...
Inaonekana kila mtu anazipenda hesabu,ni bahati sana Hesabu hazimpendi kila mtu,zina mapenzi kwa watu wachache saana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni 142000 sijui wamefanya makadirio ya namna GaniMwl katoa swali tuitafute hiyo 0.1%
0.01÷100×14,213,0270.01%×14,213,027÷100%