Jumuiya ya EAC ngazi ya vijiji mfano wa kuigwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Published on 4 Apr 2017
Jumuiya ya EAC ngazi ya vijiji ndiyo mfano wa kuigwa na serikali kuu za nchi wananchama
FUKUTO LA UTANGAMANO: Hofu na faida za utangamano wa mataifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki
Mtazamaji, je, tangu kufufuliwa kwa utangamano wa mataifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki maisha yako yamebadilika vipi? Je, umewahi kuzuru mojawapo ya mataifa haya yaani Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi na Rwanda? Hali ilikuwa vipi? Ndio udadisi tunao uangazia kwenye msururu wa awamu tatu za makala maalum Fukuto la Utangamano yanayoangazia hofu, wasi wasi, kutoaminiana na faida za utangamano huu. Kwenye awamu ya kwanza ya makala hayo, mwanahabari Zubeidah Koome anaangazia maisha ya wana-Afrika Mashariki hasa wanaoishi mipakani.

Source: KTN Kenaya news
 
Nonsense. Elimu ya Kenya iko juu?
 
Nonsense. Elimu ya Kenya iko juu?
Ndio maajabu hayo, ukiuliza wasomi wanaozalishwa na elimu ya Kenya wamefanya nini cha maana huambiwi kitu. Nadhani watu wasiojielewa wanafananisha ubora wa elimu na kutumia Kiingereza shule za msingi.
 
Nonsense. Elimu ya Kenya iko juu?
Kwenye makala yote umeona uhoji tu elimu ya Kenya. Kwani ni siri au jambo la kushangaza kwamba elimu yetu imewazidi pakubwa.
Anyway makala yana mengine ya kujifunza wacha kukurupuka
 
Ya kujifunza ni mengi lakini kwa vile ni mkenya aliyeandaa, alishindwa kuwa impartial. Huwezi andaa makala ya mtangamano alafu unaegemea upande mmoja.
Elimu ya Kenya ni superior? By what standards? Au kuongea English ndio kiwa superior? Kwa sababu kila aliyeulizwa kwa nini anasema elimu ya Kenya iko juu alitoa sababu ya lugha!
 
Suala la superiority ya elimu ya Kenya juu ya Tanzania tumelijadili mara nyingi humu sina ya haja ya kulirudia kila mara, na sio focus ya haya makala.
Muandaaji aliwahoji wananchi wanaoishi hayo maeneno pande zote mbili na walijadili mengi, issue ya elimu alihojiwa mtu mmoja tu tena upande wa Tanzania, na pia huyo huyo mmoja alihojiwa mengine mengi zaidi ila mwenyewe ndio kataja sehemu kwamba anataka kuja Kenya kusoma.

Mabango kama haya hapa kwenye hii picha ndio husababisha Watanzania wawe na kauli za hivyo, so wacha kuweweseka.
ajira.jpg
 
View attachment 492635

Tafuta kwanza malengo ya hiyo shule.
 
Kwa sababu hiyo shule hapo ni English medium.
So we are back to square one. Hilo bango halionyeshi kwamba elimu yenu ni superior linaonyesha tu kuwa mnaongea English fullstop!
So swali liko palepale, tunapima ubora wa elimu kwa kigezo cha kujua English?
 
Bango halijataja sababu za kuwatafuta Watanzania waliosomea Kenya.
Pili sirudi kwenye square one maana hili la elimu tulishatumia muda wetu kuwafahamisha kwanini elimu yenu iko nyuma ya yetu. In fact mada za kuwakumbushia kwanini mpo nyuma yetu kwa kila kitu, ukitazama siku hizi huwa sizichangii sana maana tulitumia nguvu nyingi kuwapa comparison kwa kila kitu, tatizo huwa mpo very thick, unaelimishwa hadi unatulia halafu unasubiri mwezi mmoja unaibuka na ile ile hoja.

So hadi mfikie kwenye level yetu ndio nitakua nazijadili tena, lakini kwa sasa muendelee kupambana huko nyuma.

Kwa kifupi, nipo tayari kujadili maudhui ya huu uzi wa mleta mada bila kuchepua. Kwa hivyo kwaheri, hadi pale utakua tayari kuijadili hoja.
 
Jitazame ulivo na akili ndogo eti mlitufahamisha.......
Vigezo vya kupima elimu vinafahamika. Mmetushinda kwenye kigezo kipi? Enrollment rate? School completion? Au siku hizi English ni kigezo? Hiyo shule nakwambia ni English medium unabisha nini sasa?
Endeleeni kuandaa viprogram vyenu hivyo mtaishia kumake matters worse....hao KTN nawashauri watumie hiyo airtime kuwafundisha why tribalism and animal fuckery is bad for your health!
 
povuuuuu...kenya is superior
 
Tunaungana na waswahili twende wapi jamani, hapa uhuru alikuwa anatema yai , ndo baadae jpm akasema haelewi kitu...hivi phd aliitoa wapi huyu
IMG_20161031_125531.jpg
 
povuuuuu...kenya is superior
Jitazame ulivo na akili ndogo eti mlitufahamisha.......
Vigezo vya kupima elimu vinafahamika. Mmetushinda kwenye kigezo kipi? Enrollment rate? School completion? Au siku hizi English ni kigezo? Hiyo shule nakwambia ni English medium unabisha nini sasa?
Endeleeni kuandaa viprogram vyenu hivyo mtaishia kumake matters worse....hao KTN nawashauri watumie hiyo airtime kuwafundisha why tribalism and animal fuckery is bad for your health!

Tokea kitambo inajulikana basic education ya Kenya iko juu on average....
Hawa jamaa wa 'Twaweza' hupima viwango vya elimu EA kila mwaka, offisi yao kuu iko Dar
Are our children learning? Literacy and numeracy across East Africa :: Uwezo :: Publications :: Twaweza.org

6 Jun 2015 | Uwezo

Many children across East Africa are not learning basic literacy and numeracy skills. Only two out of ten pupils (20%) in the third year of primary school can read and do basic mathematics at Standard (or Grade) 2 level. By the time they reach the last year of primary school, one out of four East African children (24%) still have not acquired these skills.

These findings were released by Uwezo, a program of Twaweza, in a report entitled Are our children learning? Literacy and numeracy across East Africa. Data on learning outcomes, school conditions and households were collected in 2013 in every district across the region through citizen-led householdbased assessments. Learning outcomes are assessed among children aged 6 to 16 through tests set at Standard (or Grade) 2 level.
uwezo%20ea2.jpg

When considering all children aged 10 to 16, whether in or out of school, results are also poor. In Kenya 64% passed both one literacy and a numeracy test, in Tanzania 48% and in Uganda 36%. This means that, even in Kenya, the best performing country, less than 7 out of 10 of all children (aged 10-16) have mastered Grade 2 literacy and numeracy skills.

uwezo%20ea%204.jpg

The best performing district in East Africa is Mbeya Urban in Tanzania. However the rest of the top ten is populated by Kenyan districts, which dominate the upper ranks. Tanzanian districts tend to fall in the middle ranks and Uganda districts are consistently ranked near the bottom. The best performing Ugandan district is ranked 82 in the region. Seven out of the bottom ten places are taken up by Ugandan districts.

Wealth also appears to influence learning outcomes: in all three countries, there are large gaps between different wealth groups.

  • In Kenya, seven out of ten pupils aged 10 to 16 (70%) in non-poor households, and four out of ten pupils (44%) in ultra poor households passed one literacy and numeracy test
  • In Tanzania, just under six out of ten pupils aged 10 to 16 (55%) in non-poor households, and four out of ten pupils (39%) in ultra poor households passed one literacy and numeracy test
  • In Uganda, four out of ten pupils aged 10 to 16 (42%) in non-poor households, and two out of ten pupils (24%) in ultra poor households passed one literacy and numeracy test
  • Despite the larger disparities in Kenya, ultra poor households in the country still, on average, perform better than non-poor households in Uganda.
The report also shows that learning outcomes have stagnated since Uwezo began collecting data in 2009/2010. East African children continue to face a crisis in the education system with no significant changes in learning outcomes over the last four years (up to 2013). Enrollment trends are similarly unmoving but have been high since the introduction of universal primary education in the three countries.
uwezo%20ea%206.jpg

Uwezo metrics are used to assess progress against the Education for All goals. These goals were agreed with a 15-year timeframe in 2000 and cover both access to and quality of education. Overall, there are no significant changes in any of the metrics used to assess the goals in the four years that Uwezo data have been collected. However, enrolment is high with all three countries having over 90% enrolment rates. Similarly gender parity has been achieved in the three countries in terms of access and quality. There are no marked differences in access to schooling between boys and girls. Sadly boys and girls perform equally poorly in terms of learning outcomes. However these are national averages and so conceal geographical variation. Similarly, they do not consider any gender differences in primary school completion or secondary school enrolment.
 
Nonesense ...English is just as important as any other thing you study sasa how will you be conpetitive globally kama kizungu hujui !!!use your head !!!kizungu ,kifaransa ,kichina etc this are global languages..sasa nyinyi na kiswahili only limited to EAC ...again ..kama unaumia masomo ya kenya superrior!!leta standards za all EAC countries to compare ..you are not an expert ..kuongea maneno tu ju ya wivu ..English is as important as much as anything else you learn ..in kenya ..you cant enter apublic university without a B grade minimum in english na sylabus is tough ,3 novels , litrature and grammar ,three papers to do ...hata usa lazma ufanye mitihani ya kingereza (SATs )ndo uingie kusoma usa .Halafu unasema kizungu si important !!!wacha ujinga
 
Tokea kitambo inajulikana basic education ya Kenya iko juu on average....
Hawa jamaa wa 'Twaweza' hupima viwango vya elimu EA kila mwaka, offisi yao kuu iko Dar
Are our children learning? Literacy and numeracy across East Africa :: Uwezo :: Publications :: Twaweza.org

6 Jun 2015 | Uwezo

Many children across East Africa are not learning basic literacy and numeracy skills. Only two out of ten pupils (20%) in the third year of primary school can read and do basic mathematics at Standard (or Grade) 2 level. By the time they reach the last year of primary school, one out of four East African children (24%) still have not acquired these skills.

These findings were released by Uwezo, a program of Twaweza, in a report entitled Are our children learning? Literacy and numeracy across East Africa. Data on learning outcomes, school conditions and households were collected in 2013 in every district across the region through citizen-led householdbased assessments. Learning outcomes are assessed among children aged 6 to 16 through tests set at Standard (or Grade) 2 level.
uwezo%20ea2.jpg

When considering all children aged 10 to 16, whether in or out of school, results are also poor. In Kenya 64% passed both one literacy and a numeracy test, in Tanzania 48% and in Uganda 36%. This means that, even in Kenya, the best performing country, less than 7 out of 10 of all children (aged 10-16) have mastered Grade 2 literacy and numeracy skills.

uwezo%20ea%204.jpg

The best performing district in East Africa is Mbeya Urban in Tanzania. However the rest of the top ten is populated by Kenyan districts, which dominate the upper ranks. Tanzanian districts tend to fall in the middle ranks and Uganda districts are consistently ranked near the bottom. The best performing Ugandan district is ranked 82 in the region. Seven out of the bottom ten places are taken up by Ugandan districts.

Wealth also appears to influence learning outcomes: in all three countries, there are large gaps between different wealth groups.

  • In Kenya, seven out of ten pupils aged 10 to 16 (70%) in non-poor households, and four out of ten pupils (44%) in ultra poor households passed one literacy and numeracy test
  • In Tanzania, just under six out of ten pupils aged 10 to 16 (55%) in non-poor households, and four out of ten pupils (39%) in ultra poor households passed one literacy and numeracy test
  • In Uganda, four out of ten pupils aged 10 to 16 (42%) in non-poor households, and two out of ten pupils (24%) in ultra poor households passed one literacy and numeracy test
  • Despite the larger disparities in Kenya, ultra poor households in the country still, on average, perform better than non-poor households in Uganda.
The report also shows that learning outcomes have stagnated since Uwezo began collecting data in 2009/2010. East African children continue to face a crisis in the education system with no significant changes in learning outcomes over the last four years (up to 2013). Enrollment trends are similarly unmoving but have been high since the introduction of universal primary education in the three countries.
uwezo%20ea%206.jpg

Uwezo metrics are used to assess progress against the Education for All goals. These goals were agreed with a 15-year timeframe in 2000 and cover both access to and quality of education. Overall, there are no significant changes in any of the metrics used to assess the goals in the four years that Uwezo data have been collected. However, enrolment is high with all three countries having over 90% enrolment rates. Similarly gender parity has been achieved in the three countries in terms of access and quality. There are no marked differences in access to schooling between boys and girls. Sadly boys and girls perform equally poorly in terms of learning outcomes. However these are national averages and so conceal geographical variation. Similarly, they do not consider any gender differences in primary school completion or secondary school enrolment.
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni ndogo mno. I would like to see the results of this survey now that the regime has changed. Kila mtu anajua awamu iliyopita mambo mengi yalidorora. Siamini kwamba pamoja na mdororo huo bado tukawa nanyi jino kwa jino......even producing the best performing district in EA!
 
What regime...to change an education sysyem ..it takes years ...kenya is in the process of changing 8_4_4 to 2_6_6_3..but this change will come to fruition huko 2020_2024...when 844 is completly abolished ..soo tell me what significant thing regime change has brought
 
C8tZORAXsAAxLtG.jpg

According to a recent report by HakiElimu, student enrollment rates have shot up threefold!
And kids are actually staying in school thanks to the free education policy by JPM.
That really ought to mean something.
 
Back
Top Bottom