Afadhali hawa wamejaribu kuchokonoa kwa mbali suala linalohusu maisha ya raia tofauti na wale wanaofikiri kuwa dini inapaswa kujihusisha na mambo ya kiroho tu.TUME YA UCHAGUZI ilibana had I makanisani?
Kwa upande mmoja nadhani Mungu alikusudia viongozi wa dini waepushwe na dhuluma.
Akanyakua aliyeamuru wizi
Wanamwambia nani sasa. Hao wajasiriamali wa diniLeo Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Mkutano mkuu wa Jumuiya ya Kikristo na miongoni mwa maombi yao ni kushiriki kwenye Demokrasia na Chaguzi.
Jumuiya hiyo imesema ushiriki wa taasisi katika uchaguzi wa kidini haukuwepo kabisa kutokana na kukosa kibali kutoka mamlaka husika na wanaomba wahusishwe zaidi mbeleni.
Pia Jumuiya imepongeza utawala sheria kwenye awamu ya sita ikiwemo kuchukua hatua dhidi ya viongozi wa Serikali waliokuwa na tuhuma ya matumizi mabaya ya madaraka na kuminya haki za msingi za binadamu
Hao sio wakristo ni makristoHii ni Jumuiya ya maslahi toka makanisani. Ikwendeee!
Leo Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Mkutano mkuu wa Jumuiya ya Kikristo na miongoni mwa maombi yao ni kushiriki kwenye Demokrasia na Chaguzi.
Jumuiya hiyo imesema ushiriki wa taasisi katika uchaguzi wa kidini haukuwepo kabisa kutokana na kukosa kibali kutoka mamlaka husika na wanaomba
Bora hamkushiriki vinginevyo mngeshiriki dhambi na Laana kubwa .Leo Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Mkutano mkuu wa Jumuiya ya Kikristo na miongoni mwa maombi yao ni kushiriki kwenye Demokrasia na Chaguzi.
mwendazake kaondoka na tuhuma nyingi za kuminya haki za binadamu.Jumuiya hiyo imesema ushiriki wa taasisi katika uchaguzi wa kidini haukuwepo kabisa kutokana na kukosa kibali kutoka mamlaka husika na wanaomba wahusishwe zaidi mbeleni.
hata ukipewa hiyo katiba hutakaa upate unachotaka unaumiza kichwa bureSuluhisho ni katiba mpya
Nataka katiba ya kuleta haki tu , sitaki kinginehata ukipewa hiyo katiba hutakaa upate unachotaka unaumiza kichwa bure
muwe mnatumia akili siyo matope haki gani unayoitafuta ambayo haipo kwenye katiba hii hivi mnafikiri mawazo ya kila mmoja raisi awe anayatumia kuendeshea nchi anaweza kweli hata kama ungekuwa wewe huyu akisema hivi unafanya mwingine akisema hivi unafanya huo siyo uraisNataka katiba ya kuleta haki tu , sitaki kingine
Hatutaki mawazo ya mtu mmoja mmoja ndio maana tunataka katiba ya Wariobamuwe mnatumia akili siyo matope haki gani unayoitafuta ambayo haipo kwenye katiba hii hivi mnafikiri mawazo ya kila mmoja raisi awe anayatumia kuendeshea nchi anaweza kweli hata kama ungekuwa wewe huyu akisema hivi unafanya mwingine akisema hivi unafanya huo siyo urais