Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Hakuna baharia mlain baharia lazima awe mgumu

Baharia hawezi kwenda pm kwa demu ila demu ndo inapaswa aende pm kwa baharia
 
Baharia koko a.k.a baharia wa nchi kavu nakubaliana na maagizo ya chama
 
Nasubiri comments za mabaharia wanaoishi kwao

Tafadhali comments ziwe fupi fupi " " ni muhimu

Secretary wa mabaharia nasubiri wajumbe mfike
uwezi kuwapata hao mabaharia wanaoishi kwao!

mabahari wote wana mageto yao na kwa mabahari wasiokua na mageto wanaishi ata vichakani

alafu bila kusahau mabahari wote mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…