Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uwezi kuwapata hao mabaharia wanaoishi kwao!

mabahari wote wana mageto yao na kwa mabahari wasiokua na mageto wanaishi ata vichakani

alafu bila kusahau mabahari wote mbinguni
 
Baharia hajibizani na mwanamke pale wanapopishana kauli, neno moja unakula vaku

Baharia anawajali watoto dhidi ya mabaradhuli

Baharia hacheki, ana tabasamu sekunde mbili anapiga kimya

Baharia haombi, Anakopa na anarudisha

Baharia hatishwi, akiamua kufanya anafanya
Kabisa baharia
 
Baharia haruhusiwi kabisa kutumia emoj
baharia ukiombwa hela na demu, marufuku kulia lia sina hela.
muulize sh ngap
akikutajia 100k, unampa sehemu nzuri akae wewe unaaga kwenda kuchukua pesa atm au tigo pesa shop.
endelea na ishu nyingine haurudi

afu emoji za kurembua macho sio desturi ya mabaharia
 
Kabisa baharia
Baharia ni muhimu kujua Kupika ili usiwe chambo wa kuwahi kuoa
IMG_20190831_185630.jpg
 
Mshatapeli ela za watu miaka kibao hapo avalon house afu mnazingua et hakuna baharia tapeli.watu wana miaka saba wanadubiria kazi hakuna et utaskia mtu anakwambia mwali tusha mchukua bado kumvua nguo tu kina dede hao na kuna mtu aliitwa mwanasheria.mm binafsi nishatoa ela hapo zaid ya laki tano kwa kushikwa maskio eti mtaenda kwenye rig mshahara kwa siku dola 250 lakin hamna hata mtu amepata kazi.na kama kunabaharia yupo kwenye jumuia hii namshauri awe baharia wakujitegemea kama mm.nishapata safari mbili toka nimeachananahao jamaa na mpaka sasa naandika uzi huu sipo nyumban.na naimaind sana jumuhia ya mabaharia kwa kuwadanganya watu.
Solidality......
Mkuu pole sana. Siku hizi wale wajanja hawapo tena mitaa ile nina jamaa zangi walilizwa pale.
 
Mbona hilo jengo limekaa ki raru mmeshindwa hata kuliweka katika mkao...
 
Back
Top Bottom