Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Hapo kuna baharia mwandamizi mmoja tu...Hivi kwenye hii picha kuna Baharia kweli hapa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1193755
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kuna baharia mwandamizi mmoja tu...Hivi kwenye hii picha kuna Baharia kweli hapa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1193755
uwezi kuwapata hao mabaharia wanaoishi kwao!
mabahari wote wana mageto yao na kwa mabahari wasiokua na mageto wanaishi ata vichakani
alafu bila kusahau mabahari wote mbinguni
Hivi kwenye hii picha kuna Baharia kweli hapa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1193755
Sawa MwenyekitiHuyo dogo naomba tumkabizi unaibu katibu mkuu
Kabisa bahariaBaharia hajibizani na mwanamke pale wanapopishana kauli, neno moja unakula vaku
Baharia anawajali watoto dhidi ya mabaradhuli
Baharia hacheki, ana tabasamu sekunde mbili anapiga kimya
Baharia haombi, Anakopa na anarudisha
Baharia hatishwi, akiamua kufanya anafanya
baharia ukiombwa hela na demu, marufuku kulia lia sina hela.
muulize sh ngap
akikutajia 100k, unampa sehemu nzuri akae wewe unaaga kwenda kuchukua pesa atm au tigo pesa shop.
endelea na ishu nyingine haurudi
afu emoji za kurembua macho sio desturi ya mabaharia
Hivi kwenye hii picha kuna Baharia kweli hapa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1193755
Sawa Mwenyekiti
Baharia ni muhimu kujua Kupika ili usiwe chambo wa kuwahi kuoaKabisa baharia
View attachment 1191649
Mabaharia mje tuungishane.
Hii sio mizigo ya kukosa geto kabisa.[color]
Cc Unforgetable
Location wapiJamaa anamalizia nyumba yake
Wewe kweli baharia
Mkuu pole sana. Siku hizi wale wajanja hawapo tena mitaa ile nina jamaa zangi walilizwa pale.Mshatapeli ela za watu miaka kibao hapo avalon house afu mnazingua et hakuna baharia tapeli.watu wana miaka saba wanadubiria kazi hakuna et utaskia mtu anakwambia mwali tusha mchukua bado kumvua nguo tu kina dede hao na kuna mtu aliitwa mwanasheria.mm binafsi nishatoa ela hapo zaid ya laki tano kwa kushikwa maskio eti mtaenda kwenye rig mshahara kwa siku dola 250 lakin hamna hata mtu amepata kazi.na kama kunabaharia yupo kwenye jumuia hii namshauri awe baharia wakujitegemea kama mm.nishapata safari mbili toka nimeachananahao jamaa na mpaka sasa naandika uzi huu sipo nyumban.na naimaind sana jumuhia ya mabaharia kwa kuwadanganya watu.
Solidality......