Donald Marcus Hemu
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 372
- 535
Juz tu kwenye itv wametoka kuonyesha habari ya visima vipya huko mkoani morogoro alafu unasema huoni maendeleo yoyote kuhusu hii miaka minne, Mkuu huko vijijini huduma za maji na umeme imeboreshwa ipasavyo nilipata kukaa vijiji vya singida upande wa kaskazini kuna visima na umeme karibu kila mtaa tena kwa bei nafuu tuLilikuwepo na mliahidi mtalitatua katika ilani za CCM. Miaka minne madarakani mmefanya nini?