Donald Marcus Hemu
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 372
- 535
Juz tu kwenye itv wametoka kuonyesha habari ya visima vipya huko mkoani morogoro alafu unasema huoni maendeleo yoyote kuhusu hii miaka minne, Mkuu huko vijijini huduma za maji na umeme imeboreshwa ipasavyo nilipata kukaa vijiji vya singida upande wa kaskazini kuna visima na umeme karibu kila mtaa tena kwa bei nafuu tuLilikuwepo na mliahidi mtalitatua katika ilani za CCM. Miaka minne madarakani mmefanya nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nadhani unatakiwa kuwa muhindi/asian kwanza.Mabohora nawakubali sana hawa jamaa! Utaratibu wa kuwa Bohora ukoje wakuu?
Huduma za maji zingeboreshwa corona isingepinganiwa na maji ya vidumuJuz tu kwenye itv wametoka kuonyesha habari ya visima vipya huko mkoani morogoro alafu unasema huoni maendeleo yoyote kuhusu hii miaka minne, Mkuu huko vijijini huduma za maji na umeme imeboreshwa ipasavyo nilipata kukaa vijiji vya singida upande wa kaskazini kuna visima na umeme karibu kila mtaa tena kwa bei nafuu tu
Kama serikali kweli inania njema ya kushirikiana na jamii kupambana na corona ili kuwanusuru wananchi, busara ingetumika,Sina uhakika kuhusu ukamatwaji wa devotha minja unatokana na maamuzi yake yeye ya kutoa msaada wa barakoa kwa wakazi wa morogoro hivyo siwezi kujibu hili kwa ujasiri
Kwaiyo mkuu ulidhani ingekuwa ustaarabu kama watu wangekuwa wananawa kupitia matank au mabomba!!? Huoni kama hivyo vidumu na ndoo zimepunguza msongamano!!?Huduma za maji zingeboreshwa corona isingepinganiwa na maji ya vidumu
... mh! dini ikishaweka vigezo ambavyo vinawatenga wengine completely hilo ni tatizo! But i don't think so; dini/dhehebu la aina hiyo sidhani kama lingepata usajili hapa nchini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nadhani unatakiwa kuwa muhindi/asian kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiangalie yaliyopita kama mungu kakubariki uwezo wa kutoa toa tu watanzania sasa Wanauhitaji kuliko kipindi chochote kile