Uchaguzi 2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

Jumuiya ya Madola haihitaji kuandikiwa maelezo yoyote na mtu. Ipo huru na imekamilika


Ndio maana nikakuuliza kama ulimsikia tundu alivyosema alivyoongea na media? Na kama ulisoma Mada kuhusu huyo Muzungu kuwaandikia Jumuiya ya madola, ipo humu itafute kwanza uisome ndio labda tuendelee kama ukipenda, ...
 
Violence??

Huyu mama anaishi dunia gani huyu??

Hizo taarifa za kutokea machafuko kazipata wapi??
 
Jamani kama kuna kura za kuchakua kwa wale wakazi wale wakazi wa Kawe naziomba.Nataka nikazitoe kwenye bahasha ya sadaka kanisani kwa Gwajima jumapili
 
Ukikua utakuwa mchawi ww
 
NA JUMUIA ZA MA KWACHA NA MAPAUNDI NAZO ZIMETOA TAMKO GANI?? AU ZENYEWE HAZIJASIKITISHWA?
 
Who the fu.ck are these people, we are TANZANIA....a sovereign country who have nothing to do with other ppl's bullshit. We chose our leaders peacefully and everybody voted accordingly. The people have spoken and the results are in, who are these fools to us? Wapinzani wameishiwa, hawaamini kuwa hawapendwi tena na wananchi, to hell with them.
 
Mkuu
Jna matatizo kwenye akili zako.

Jna matatizo kwenye akili zako.
Bahati mbaya Sana ,hujui na huwezi kujua ,njoo na hoja hapa ,wengine hapa tupo kitaifa zaidi, so kupost Mambo ya kihuni aipendezi,
Sikiliza njoo na hoja wapo watu hawajawai kua na chama atuzugumzi maneno kisa hu ccm au act au cuf au chadema ,tafakari na chukua hatua
 
Kuna watu wanapambana kuletea Taifa lao Maendeleo

Kule Kuna Mafara wanapambana kuchafua Taifa lao ili wawe viongozi
Mkuu huwezi kuleta maendeleo kwa kuendesha uchaguzi wa haki ?
 
Kwa ajili hiyo mnamlipa huyo Muzungu Mamilioni ya US Dollars? kupata tu hayo matamko? Mnafikiri mtamtisha mtu na matamko? Hizo fedha mngewekeza kwenye uchaguzi angalau hata mngekaribia kura alizopata Lowasa.

Low IQ !
Umeandika ujinga wa kiwango cha chato.
Akili kisoda.
 
My Take
Pamoja na ukweli wa mambo yasiyo ya kawaida,ila ndugu zetu wa damu jumuia za Afrika zinasema mambo yalikuwa shwari.

Inamaana viongozi wa Afrika Mashariki ná viongozi wa SADC hawakuyaona haya?
Sky na OKW
Hivi mlitegemea Museveni aseme nini tofauti? Mnangagwa alikuja Dar kabla ya uchaguzi unategemea aseme nini?

Ngoja niwape kidogo kuhusu unafiki wa Waafrika. Leo wana AU inajadili kitu gani ikiwa Waafrika wanazama katika bahari Mediterrenean wakikimbia mateso Afrika!
Kama Viongozi wa AU hawawezi kuongelea hilo, leo hili la maboksi ya kura za NEC mitaani linawashangaza nini.

Kilichofanyika Tanzania katika uchaguzi ndiyo standard ya Afrika sasa walaani nini!

Mugabe aliichukua nchi kutoka kwa Walowezi ikiwa na uchumi sawa na nchi za Europe. Akiondoka madarakani Wazimbabwe wanazamia Tanzania. Nani aliyekuwa anamlinda, ni hawa hawa akina Mkapa na JK
Sasa leo utegemee Zimbabwe walaani Tanzania

JokaKuu tindo
 
Ma
Makura feki sio uamuzi wa wa Tanzania
 
Sasa hao Commonwealth wanashangaza sana, authorities gani wachunguze uhuni waliofanya wenyewe?

Hivi baada ya kufanya uhuni kama huo bado wanaona tuna viongozi kweli wenye heshima ya kuitwa viongozi au ni genge la wakora tu.
 
Yaani kuna watu wanajua demokrasia ni hadi ashinde mpinzani😅😅😅. Mara ooh tumekamata kura wakiambiwa wazipeleke zikachunguzwe na kulinganisha kama kweli ni sawa na zile za nec hawataki kupeleka! Basi tuonesheni huyo mtu mlie mkamata nazo oooh hatujui alipo! Basi hizo kura zina namba tusomeeni hizo namba ili tuangalie ni kutoka katika kitabu gani cha kura kati ya vilivyo gawanywa na nec oooh sisi hatutaki tunataka tu tuzichome moto! 🤣🤣🤣🤣🤣SI MKUBALI TU MMESHINDWA. Kura za mh. Magufuli zipo ndani ya boksi la kura na ndizo zilizo hesabiwa hizo za nje ni za kwenu njama yenu imeshtukiwa tafuteni pa kuzipeleka au kama kweli mnajiamini ni vidume chukueni sampuli japo kura 2 tu mpeleke mahakamani zikalinganishwe.



MAGUFULI4LIFE.
 
Asante sana, hili swala la vijana wa Afrika kukimbilia Ulaya na wengi kupoteza maisha katika bahari ya Mediterani linawaumiza sana wazungu kuliko sisi tunaopoteza nguvu kazi.
Walifikia shauri ya kutoa pesa kwa nchi za Afrika ili ziunde miradi itakayo zalisha ajira kwa vijana.

Kinachosikitisha hakuna miradi yeyote inayoanzishwa zaidi ya kutajirisha viongozi. Fikiria na ardhi yote tuliyonayo tumeshindwa kuwa supplier wakubwa wa vyakula, mboga na matunda duniani. Hili liliwezekana wakati wa ukoloni.
 
Fikiria hivi, kiongozi wa Afrika hafikirii kuhusu vijana wa Afrika wanaokufa au wale wanaoishi kama Mbwa kule Lampemedusa. Kiongozi huyo anasimama na kutamba kutembelea V8 ikiwa na vyoyozi.

Nenda pale Adis , kila mwaka wanakutana katika AU. Hakuna wanachoongelea kuhusu vijana.
Ni mkusanyiko tu wa kula na kunywa kisha kupongezana na kutawanyika. Africa!

Mugabe ameiharibu Zim, hakuna aliyesimama kusema. Kuna mzee Jirani yetu nani atamwambia!

Sasa utegemee waongelee tz !
 
Mbona nililitegemea hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…