Uchaguzi 2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

Endeleeni na kujiliwadha na matamko ila ayakuanza leo wala jana.

Maalimu alishawahi kusema ame file kesi the Hague
 
Introducing Rt Hon Patricia Scotland QC, the sixth Secretary-General of the Commonwealth of Nations
Profile :
  • Trained as a lawyer and became the first black woman to be appointed a Queen’s Counsel (QC) in 1991. At 35 she was also the youngest woman ever to be made a QC
  • The first black woman to be appointed Deputy High Court Judge, Recorder and Master of Middle Temple
  • Joined the House of Lords in 1997 as Baroness Scotland of Asthal going on to serve as a minister in the Foreign Office, Home Office and Lord Chancellor’s Department
  • Undertook major reform of the criminal justice system, including the introduction of the Domestic Violence Crime and Victims Act
  • Appointed Attorney General in 2007 – the first women to hold the post since it was created in 1315
  • Founded the Eliminate Domestic Violence Global Foundation in 2011
  • Appointed Prime Ministerial Trade Envoy to South Africa in 2012
  • Elected as the Alderman of Bishopsgate in the City of London in 2014
Source : Secretary-General Patricia Scotland | The Commonwealth
 
Hili ni tamko la kawaida sana bahati nzuri mambo yaliyomo kwenye ujumbe/ushauri huu tayari yote yameshafanyiwa kazi
nitaeleza kwa ufupi kwa lugha yetu pendwa ili kila mtu aelewe:
-----------
The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar.

"Katibu wa Jumuia ya madola Rt Hon Patricia Scotland QC ameiomba mamlaka kuchunguza malalamiko kuhusu uchaguzi mkuu wa hivi karibuni ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu dosari za uchaguzi na uvunjifu, wa amani na vifo hasa Zanzibar"

Hili ni jukumu la kawaida la serikali yoyote na tayari mamlaka zinalifanyia kazi na walioleta chokochoko wengine wameshashughulikiwa na bila shaka uchunguzi unaendelea kubaini wote waliotaka kuvuruga uchaguzi na kuleta taharuki kwa wananchi ili wasishiriki kutimiza haki yao ya kikatiba.

"Secretary-General Scotland stated: By turning out to vote on 28 October, the people of Tanzania once again placed their hope in our shared values of democracy. I laud them for their unwavering commitment.”

"Katibu alisema, kwa kujitokeza kupiga kura watu wa Tanzania kwa mara nyingine waliendelea kuweka imani yao kwenye demokrasia, nawapongeza kwa imani yao isiyoyumbishwa"

Pasi na shaka wote tunakubaliana na hili na majibu yapo wazi jinsi watanzania walivyojitokeza na kupiga kura bila kuyumbishwa na kujali kelele za ndani na nje, walijitokeza na kuchagua viongozi wanaowataka. Hakika watanzania wanastahili pongezi

“However, I am deeply concerned by reports alleging serious incidents of violence and electoral malpractice. I urge the relevant authorities to transparently and expeditiously conduct the necessary investigations and ensure the rule of law, justice and accountability prevails, in order to maintain the people of Tanzania’s confidence in democracy.

"Hata hivyo nina wasiwasi na taarifa za malalamiko na matukio ya uvunjifu wa amani na vitendo visivyokubalika kwenye uchaguzi.
Ninaomba mamlaka kufanya uchunguzi wa haraka na wa wazi kuhakikisha utawala wa sheria, haki na uwajibikaji unatamalaki ili kulinda imani ya watu wa Tanzania kwenye demokrasia"


Hili ni sahihi kabisa, wote walioleta vitendo vya kihuni wasiposhughulikwa kwa mujibu wa sheria wanaweza kuvuruga imani ya watanzania kwenye demokrasia na ushiriki wa uchaguzi. Hata hivyo ni jambo la kheri hatua madhubuti tayari zimechukuliwa haraka kulinda maslahi mapana na sauti za watanzania. Watu waliojaribu na wanaotaka kuvuruga amani tayari wanaendelea kuwajibishwa kwa matendo yao.

"The Secretary-General reaffirmed her hope that positive lessons from previous elections could inform current processes, and added: I hope that every option will be explored to maintain trust in the electoral process and to ensure that democracy, peace and unity are safeguarded in Tanzania. The Commonwealth will remain ready to offer support if required”.

"Katibu Mkuu anaamini mafunzo chanya kutoka kwenye chaguzi zilizopita yatasaidia mchakato wa sasa na aliongeza, naamini kila njia itafanyika ili kulinda imani ya mchakato wa uchaguzi kuhakikisha demokrasia, amani na umoja vinalindwa ndani ya Tanzania, jumuia ya madola itaendelea kuwa tayari kusaidia ikihitajika"

Kweli kabisa, Tanzania imeshajifunza kupitia chaguzi zilizopita na jitihada zinaendelea kufanyika kuhakikisha demokrasia na maamuzi ya wananchi yanaheshimiwa, amani na umoja wa kitaifa unaendelea kwa namna yoyote bila kuvurugwa na kikundi cha watu kwa maslahi binafsi. Sina shaka kwamba jambo hili ni "red line" atakayechezea lazima akutane na mkono wa sheria.

Mwisho: Uchaguzi umekwisha, wananchi wamechagua viongozi wanaowataka, wale ambao hawakupata nafasi wajipange kwa uchaguzi ujao, lakini pia zipo taratibu za kisheria za kuwasilisha malalamiko kwa wale ambao hawajaridhika na matokeo ya uchaguzi.
 
Kwa ajili hiyo mnamlipa huyo Muzungu Mamilioni ya US Dollars? kupata tu hayo matamko? Mnafikiri mtamtisha mtu na matamko? Hizo fedha mngewekeza kwenye uchaguzi angalau hata mngekaribia kura alizopata Lowasa.

Low IQ !
Huu ndiyo upumbavu umewafanya wananchi kuichukia CCM kwa kutengeneza propaganda za kishamba shamba kipumbavu pumbavu kama hizi mkizani watanzania ni wajinga kama nyinyi, hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
nitaeleza kwa ufupi kwa lugha yetu pendwa ili kila mtu aelewe
Mtu Mzima,
Tafsiri yako ni potovu (perversion) na hasahasa unapoifanya hapa Jamiiforums una punguza viwango vya ubora wa habari. Nakushauri pitia tena ufanye tafsiri iliyo sahihi.
 
So sad RIP, hizo damu hazitopotea bure!!!! Halafu leo kiapo Rais Zbar bila aibu hawakujitoa kimaso walau kutaja wahanga !!!!
 
Haya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.

Hii ni Taassisi kubwa sana duniani imeripoti hili.

Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.

Kiburi cha Jiwe kitaweletea Wananchi mateso makubwa sana kwani tofauti na anavyowaeleza , nchi hii bado inategemea misaada toka nje ili kufidia mapungufu kwenye bajeti ya serikali ya kila mwaka!!! Bila misaada hiyo wananchi hawatapata dawa mahospitalini na shule zitakosa mahitaji yake ya muhimu.
 
Kwa ajili hiyo mnamlipa huyo Muzungu Mamilioni ya US Dollars? kupata tu hayo matamko? Mnafikiri mtamtisha mtu na matamko? Hizo fedha mngewekeza kwenye uchaguzi angalau hata mngekaribia kura alizopata Lowasa.

Low IQ !
Jidanganye baba
 
End of the day, kiongozi anayetufaa katika taifa hili la Tanzania kwa kipindi hichi ni Magufuli tuu, wengine wataturudisha nyuma.
 
Wapige tu ban kutuuzia mafuta hata wiki moja tu akili zitatukaa sawa.
 

Nov 2, 2020

Vyombo vya Dola Tanzania wavuliwa nguo walivyoibeba CCM


 
1 Nov 2020
Nairobi, Kenya

Bwege, appears on Punchline; claims he lost his seat unfairly​

Tanzanian MP Seleman Bungara alias Bwege talks to Anne Kiguta about the recently concluded General Election in his country. Bwege claims the elections that saw President John Magufuli re-elected were marred by irregularities including in his constituency.
Source: K24TV
 
Hivi kwanini Tanzania tusijitoe kwenye vijumuiya visivyokuwa na mbele wala nyuma hivi? Yaani eti jumuiya ya nchi zilizotawaliwa na muingereza hii ni udhaifu
 
Haya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.

Hii ni Taassisi kubwa sana duniani imeripoti hili.

Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
Pumbavu zako
 
Hili goma likishafika UN via IMF and WB mchezo utakua umekwisha tayari,bora tukose wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…