Uchaguzi 2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

Hii sio serikali ya awamu ya 6,bado tuko awamu ya 5
 
Kwa ajili hiyo mnamlipa huyo Muzungu Mamilioni ya US Dollars? kupata tu hayo matamko? Mnafikiri mtamtisha mtu na matamko? Hizo fedha mngewekeza kwenye uchaguzi angalau hata mngekaribia kura alizopata Lowasa.

Low IQ !
Mbona kama wewe ndiye mwenye low IQ.
 
Haya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.

Hii ni Taasisi kubwa sana duniani imeripoti hili.

Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
Ramli chonganishi

Ovyo kabisa
 
Kama hujui lugha hiyo mzee ni kwamba wanasema wanasikitishwa na ripoti zinazodai kuwapo kwa matukio hayo; hawesemi kuwa kuna matukio hayo.
Hiyo ni lugha ya kidiplomasia mkuu, ila wanajua kila kitu
 
Ulimsikia tundu alivyosema lkn alivyoongea na Wanahabari kumhusu huyo Muzungu? Hata kuna uzi humu wa huyo Muzungu akisema anawaandikia Jumuiya ya madola, sasa kipi ambacho hauelewi? Au unafikiri huyo Muzungu anafanya charity?
Mkuu rudi shule itakusaidia sana baadaye, utakuja juta kupoteza muda wako kwa wanasiasa. Au jikite kwenye shughuli zako. Naona uelewa wako wa mambo uko chini na hujui hilo.
 
Police ulaya wakiuwa mweusi waafrika upiga kelele, but ni sahihi kwa Askari mwafrika kuuwa mwafrika mwenzake kulinda tumbo la mtawala.
 
Haya sasa kumekucha...saivi kila info ni tamko kuhusu uchaguzi uliofanyika Tanzania.

Hii ni Taasisi kubwa sana duniani imeripoti hili.

Nina uhakika kwenye haya matamko, Magufuli hataachwa salama na ushindi wake wa kidhalimu.
View attachment 1618126View attachment 1618125

My Take
Pamoja na ukweli wa mambo yasiyo ya kawaida,ila ndugu zetu wa damu jumuia za Afrika zinasema mambo yalikuwa shwari.


Commonwealth wamereport walichokua wamekipanga kitokee

Sadc na Eac wamereport kilichotokea

Watanzania wameamua kwenda na John Pombe Magufuli
 
Mkuu huwezi kuleta maendeleo kwa kuendesha uchaguzi wa haki ?
Haki gani unataka wewe? Uchaguzi umefanyika kwa uhuru na haki hakuna mtz yoyote aliyekatazwa kupiga kura na kura zote zimehesabiwa kwenye kituo mbele ya mawakala wa vyama vilivyoweka wakala na mshindi akaonyeshwa hapo hapo kwenye kituo. Sasa wewe unayesema uchaguzi haukuwa huru na haki leta ushahidi siyo kulialia tu kama mtoto mdogo!
 
Police ulaya wakiuwa mweusi waafrika upiga kelele, but ni sahihi kwa Askari mwafrika kuuwa mwafrika mwenzake kulinda tumbo la mtawala
Fuatilia uchaguzi wa US unaoendelea hivi sasa uone kama Polisi hawatumii tear gas ila ikitumika Afrika basi uchaguzi siyo uhuru na haki. Ni ujinga uliopitiliza kuwaamini wazungu kila wanachoongea wakati mwingine tutumia akili zetu vizuri kama tulivyopewa na Mwenyezi Mungu.
 
Kwa ajili hiyo mnamlipa huyo Muzungu Mamilioni ya US Dollars? kupata tu hayo matamko? Mnafikiri mtamtisha mtu na matamko? Hizo fedha mngewekeza kwenye uchaguzi angalau hata mngekaribia kura alizopata Lowasa.

Low IQ !

Hahahaha
 

Na ifike mahala watuache watanzania tufanye kazi kwa kufuata sheria na utaishi wetu
Sisi ni taifa huru
 
Lakini huwezi ona kura feki zikiingizwa, mawakala kunyimwa form, mawakala kutolewa kwa nguvu na mitutu ya bunduki.
 
Lakini huwezi ona kura feki zikiingizwa, mawakala kunyimwa form, mawakala kutolewa kwa nguvu na mitutu ya bunduki.
Hakuna kitu kama hicho mimi ni mwanakawe tulipiga kura kwa uhuru na haki kabisa hizo ni mbinu za Mdee baada ya kuona ameshindwa. Si aende mahakamani TZ kuna mahakama ambazo zinaweza kushughulikia malalamiko ya uchaguzi na wala si Wamarekani watupangie vitu vya kufanya.
 
Vip ya Hai
 
Kwani Uhuru na Mjomba Magu wanapishana? Tofauti ni katiba ya Kenya inaruhusu kwenda mahakamani na ya kwetu hairuhusu. Akisha Tangazwa basi tena na usitegemee kondoo wa nyerere kufanya lolote labda itokee miujiza.
 
Vip ya Hai
Hai Mbowe ameshindwa ndiyo maana anahangaika na Dar kama wananchi wangekuwa wamemchagua Mbowe wangekuwa wako barabarani mkuu!

Tuseme tu ukweli Wapinzani wameshindwa vibaya sana na sababu kubwa ni Lissu kuside na beberu Robert Amsterdam. Watz huwa hawapendi sana mabeberu ambayo yako kwa ajili ya Rasilimali zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…