Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Hao wanafiki tu wanaishia kusema tu.kama wako serious waondoe balozi zao, vinginevyo Ni unafiki
 
Tamko tuu halina madhara mi nilidhani labda vikwazo
 
.... mfanye matendo yenu ya kipuuzi halafu lawama uzipeleke kwa TL kwasababu yupo Ubelgiji, hivi mnatuona watz wajinga kiasi gani?, nyie mna laana..
Tundu lissu muoga sana. He's banished himself....what a hero!!!
 
Kivuli Cha lisu kinawatesa Sana hata akikaa kimya nyie mnasikia makelele huo Ni ubaya mliomfanyia
 
Umoja wa ulaya ushughulikie kwanza tatizo la ushoga kwenye bara lao ndio waje watufundishe jinsi ya kuchagua
Naona umeitaja LGBT kijanja ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha we jamaa noma
 
Mabeberu wanaitakia nini serikali ya CCM? Mbona wanaifuatilia hivi wakati yenyewe "haiwataki?"]
 

Attachments

  • tapatalk_1558507668265.jpeg
    18 KB · Views: 2
Fuatilia vizuri kwenye mipango madhubuti ya maendeleo, nchi za kusini magharibi mwa Asia zimetusaidia nini. Anza na Qatar, Iran, Saudi Arabia, Kuwait, Lebanon, Bahrain, Emirates nk
Acha ungese wewe
 
.... mfanye matendo yenu ya kipuuzi halafu lawama uzipeleke kwa TL kwasababu yupo Ubelgiji, hivi mnatuona watz wajinga kiasi gani?, nyie mna laana..
Tarehe 24 uchaguzi upo palepale japo mmesusa, viongozi watapatikana na kuapishwa. Tulieni dawa iingie!!
 

Ww ni Mtanzania wa ajabu, kwa uchumi wetu unaokuwa kwa 99% kwa mapato yote makubwa ya ndani, miradi yote hii inayogharamiwa kwa pesa za ndani

Bado unalialia na matamko ya watu ambao ni maskini kuliko sisi?

Alafu ngoja nikwambie kitu, mchina hakuwahi kuwa rafiki na ngozi nyeusi, nenda Zambia ukaone wanavyolia
 
Tunapoelekea tutakuja kusimamiwa chaguzi zetu. Na wazungu.
Tumeshindwa kujisimamia
 

Ni hivi, jiwe ndio anayeharibu chaguzi ili kuhadaa umma kuwa yeye na ccm wanakubalika, ila kiukweli ni mtu anayejiandaa kuingiza nchi hii kwenye machafuko.
 

Porojo tupu, tumia akili upande wenu baada ya upinzani kujitoa nini wame-react, kama ni sukuma kanyaga twende mbona hamfurahii kushinda vijiji na kata zote bila kupingwa?

Tumia akili japo za kuazima ili ujue hali halisi ya huko ndani, kwanini Jafo analazimisha majina yatakuwepo kwenye ballot paper ata wakijiengua? hamuko salama kiivyo.
 
Unamkanyaga mtu, halafu unamkataza hata kulalamika kwamba kakanyagwa.
 
Fuatilia vizuri kwenye mipango madhubuti ya maendeleo, nchi za kusini magharibi mwa Asia zimetusaidia nini. Anza na Qatar, Iran, Saudi Arabia, Kuwait, Lebanon, Bahrain, Emirates nk

Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Hizo nchi msaada wao wa maana ni kwa nchi za kiisilamu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…