Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
Lini Tanzania ilikuwa safi?
Tanzania ni safi sana hivi sasa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini Tanzania ilikuwa safi?
Wamebaki kupiga propaganda wakati wenzao wanasonga mbele. Ni reli gani hiyo aliyojenga Amin na kusambaza umeme vijijini?! Labda kijijini kwao Koboko.Uganda ilikuwa serikali ya kijeshi. (military rule ambayo iliingia kwa mapinduzi). Muogope Mungu.
Jafo kashawajibuLissu hana mpango na mambo yenu, mjilaumu wenyewe hata kuandaa huu uchaguzi mdogo tu unawashinda, haya sasa wajibuni hao mabeberu wenu ambao muda mwingine mnawaita wadau wa maendeleo.
Watoe matamko kuhusu familia zao na wake zao na sio kuhusu nchi yetuHalo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Akili umwemwachia mgonjwa wa akiliHalo JF siasa.

Very stupid agenda. Wa deal na Yao.Hapo penu kushamaliza hilo tatizo?
Nchi za mataifa ya dunia ya kwanza wameshapita hatua ya kumuamulia mtu nini afanye na mwili wake,wanafikiri sasa namna ya kuhama dunia hii yenye watu useless kama weweUmoja wa ulaya ushughulikie kwanza tatizo la ushoga kwenye bara lao ndio waje watufundishe jinsi ya kuchagua
Waelekeze Iran na Zimbabwe waende huko wewe mwenye macho makubwaHalo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
kwa akili zako na za mwenyekiti wa ccm mnadhani hajafanikiwaUmoja wa ulaya ushughulikie kwanza tatizo la ushoga kwenye bara lao ndio waje watufundishe jinsi ya kuchagua
Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Ni ujinga wa karne kutupa lawama kwa Tundu Lissu asiyepo nchininwakati wawakilishi wa "mabeberu" wako hapa hapa nchini.Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
DaaaahhAkili umwemwachia mgonjwa wa akili

Kwani democracy imebakwa wapi?Kuna uhusiano gani kati ya ubakaji wa demokrasia katika uendeshaji wa uchaguzi wa serekali za mitaa na lissu kukaa ubelgiji