Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.

Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.

Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.

Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Ameuulize kabendera yupo wapi na yupoje
 
2020 kuna jambo linakwenda kutokea kama uhuni huu utaendelea kulindwa.. Ni hatari sana kwa wenye madaraka kudharau mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja.
Hamna lolote zaidi ya ccm na Mh JPM kushinda
 
Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.

Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.

Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.

Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Huna akili unajivunia mataifa maskini wezako.badala ujutie waliompiga lisu bingwa washeria duniani ,lisu mkata upepo
 
Nimecheka sana kuona india na waarabu kwenye listi.
India walitupiga ban kununua mbaazi zetu, sasa unajiuliza wanamsaada gani kwetu?

Hawa wahindi wametuibia sana Tanzanite yetu
 
Kama hamuogopi tamko hilo yanini kuandaa uzi humu?kama tamko halina tija tahadhari ya nini?au unawashwa????
Hili bandiko la wiki mbili zilizopita, nilitonywa juu ya hili kutokea na limetokea kama nilivyotonywa.
 
Kama hamuogopi tamko hilo yanini kuandaa uzi humu?kama tamko halina tija tahadhari ya nini?au unawashwa????

Waulize Waingereza waende zao kuhangaika na Brexit na hao USA wahangaike ni hilo pumbavu lao kwenye impeachment. Ukoloni uliisha muda mrefu tu, Tanzania sio koloni.
 
Uwepo wa Trump White house ni fadheha sana kwa wamarekeni na vibaraka wao wa NATO kwa ujumla, lakini ni jambo la heri for the rest of the world. Ukiangalia kwa umakini sana utapata jibu kwanini Putin/Rissia walipenda Trump awe Rais wa Marekani.
 
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Lissu hana mpango na mambo yenu, mjilaumu wenyewe hata kuandaa huu uchaguzi mdogo tu unawashinda, haya sasa wajibuni hao mabeberu wenu ambao muda mwingine mnawaita wadau wa maendeleo.
 
Uwepo wa Trump White house ni fadheha sana kwa wamarekeni na vibaraka wao wa NATO kwa ujumla, lakini ni jambo la heri for the rest of the world. Ukiangalia kwa umakini sana utapata jibu kwanini Putin/Rissia walipenda Trump awe Rais wa Marekani.

Mkuu haya mataifa yalikuwa na nguvu sana wakati wanachangia budget ya TZ kwa zaidi ya 50%. Hivi sasa hatuhitaji hiyo support yao kwa sababu tunachangia hiyo budget kwa pesa zetu wenyewe. Kama sikosei sasa hivi 70% ni sisi wenyewe na tunaelekea kupanda zaidi kwenye awamu hii ya 5. Hutuwezi kuwabembeleza, JPM anafanya kazi nzuri sana tupo huru na tumeamua kusonga mbele kuivusha Tanzania kwenye neema.
 
Back
Top Bottom