R Rogojin The Idiot JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 2,969 Reaction score 3,392 Jan 15, 2025 #21 Lord denning said: Chadema hii ilivyo tamu. Naona dalili za TISS kuwatema CCM Click to expand... In the long run, ili kuwa na balance, lazima kuwa na Chama imara cha upinzani. Shida ni njaa ambayo huwa wanaileta huko upinzani. Bei zao zinajulikana
Lord denning said: Chadema hii ilivyo tamu. Naona dalili za TISS kuwatema CCM Click to expand... In the long run, ili kuwa na balance, lazima kuwa na Chama imara cha upinzani. Shida ni njaa ambayo huwa wanaileta huko upinzani. Bei zao zinajulikana
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jan 15, 2025 #22 johnthebaptist said: Hadi sasa Bavicha na Bazecha zimechagua Wenyeviti Wasomi wenye Leseni za Kitaaluma kabisa Bado Bawacha na pale juu kabisa Alfa na Omega 😂 Ahsanteni sana🐼 Click to expand... Ila tuseme tu ukweli, elimu ni ya muhimu sana hasa unapoongoza taasisi kubwa kama CHADEMA. Ni aibu, Chadema kuongozwa na form 4 failure!
johnthebaptist said: Hadi sasa Bavicha na Bazecha zimechagua Wenyeviti Wasomi wenye Leseni za Kitaaluma kabisa Bado Bawacha na pale juu kabisa Alfa na Omega 😂 Ahsanteni sana🐼 Click to expand... Ila tuseme tu ukweli, elimu ni ya muhimu sana hasa unapoongoza taasisi kubwa kama CHADEMA. Ni aibu, Chadema kuongozwa na form 4 failure!
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jan 15, 2025 #23 Wasomi kabisa mnaongozwaje na mtu aliyefeli tena form 4?!