Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Chadema hii ilivyo tamu. Naona dalili za TISS kuwatema CCM
In the long run, ili kuwa na balance, lazima kuwa na Chama imara cha upinzani. Shida ni njaa ambayo huwa wanaileta huko upinzani. Bei zao zinajulikana