Jumuiya za Chadema zimeamua kuchagua Wenyeviti Wasomi hadi Bazecha hii tafsiri yake ni nini? Je pale Alfa na Omega wataweka Msomi pia? 🐼

Jumuiya za Chadema zimeamua kuchagua Wenyeviti Wasomi hadi Bazecha hii tafsiri yake ni nini? Je pale Alfa na Omega wataweka Msomi pia? 🐼

Hadi sasa Bavicha na Bazecha zimechagua Wenyeviti Wasomi wenye Leseni za Kitaaluma kabisa

Bado Bawacha na pale juu kabisa Alfa na Omega 😂

Ahsanteni sana🐼
Ila tuseme tu ukweli, elimu ni ya muhimu sana hasa unapoongoza taasisi kubwa kama CHADEMA.
Ni aibu, Chadema kuongozwa na form 4 failure!
 
Back
Top Bottom