Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Hakuna kwenye barua ya Mike Pompeo palipoandikwa makonda kawa black listed kwa kusumbua mashoga by the way nitajie mashoga wa3 waliosumbuliwa na makonda?
Kuna clip moja inazunguka huko dunia ya pili kuhusu majereji. Akina mama wanapiga yowe.

Au sio tabia zao. Namalizia hapo. Inawezekana na wewe ni mmoja wapo wa tabia.
 
Hivi pamba bado inalipa?
 
Acha CCM na Serikali yake waendelee kujitekenya na kucheka wenyewe mwisho wa siku watajua hawajui.
Tayari ubalozi wa Marekani umetoa mwelekeo kuhusu tukio la Mhe.Tundu Lissu kuwekwa ndani na kufunguliwa kesi ya UHAINI.
Marekani ndiyo Rais wa dunia nchi yoyote haikohoi kwa USA. Ukizingatia kwa sasa ina Rais mwene maamuzi magumu, CCM ni bora wamwachie Lissu huru pasi na masharti yoyote vinginevo kitakacho fuata Rais Samia atajutia hili kosa la kiufundi wa siasa. God bless Tanzania and USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…