Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Kuna watu wamezoea misaada mpaka wanaona ni haki yao
Nimeishaona ombaomba wakipita sehemu kila wiki wakijua ni haki yao kuzunguka na kuomba

Kama ni kawaida kwa watu na serikali pia ni watu hao hao ila wanaomba pato kubwa

Botswana iko juu kwa nchi ambazo hazijawahi kuiomba wala kuchukua hela IMF na wapo juu zaidi
Screenshot_20250329_222442_Instagram~2.png

Njaa zetu zinatufanya eti tishio ni kutopewa misaada daa
Na mnaamini kabisa mzungu anahangaika na nyie
 
Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.

Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.

Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.

Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Yaguju.
Dua la kuku..........
 
Unachokifanya unajitekenya na kucheka mwenyewe. Acha kuota, sio rahisi kama unavyofikiria. Unachokifanya hapa unajifurahisha na kujipa moyo.

Hizi propaganda ndio zinawafariji. Tulia kwanza dawa ichemke

Hivi ni nani alieizuia chadema kushiriki uchaguzi?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hili iwe tetesi au isiwe kweli, hili linakuja. Unadhani No reforms, No elections imetokea msituni tu. CCM watakuja kujua imetoka wapi wakati wameshachelewa. Kwa mtu yeyote anayejua mambo haya, anajua hapa nchi inatafutwa kuadhibiwa na international communities
Endelea kujifariji na propaganda zenu
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Amos Makala IQ yake ni ndogo sana na ni mojawapo ya washauri vitu vya hovyo huko ccm , mda huu alipaswa awe jela kwa kesi ya uhaini, lakini polisiccm na mahakamaccm hawajathubutu kumgusa
Yule jamaa anajiita CPA kumbe ni uchwara na uchawa tupu! Pambaf sana!
 
Ngonjera zilikuwa tutakinukisha sasa zimebadilika na kuwa Tanzania itawekewa vikwazo.Makamanda tumewazoea keyboard warriors. Chama cha mitandaoni.
 
Ona ulivyo beba kichwa kama mzigo makonda alipigwa ban kwa sababu ya kuwasumbua mashoga kama ww kwa taarifa yako
Hakuna kwenye barua ya Mike Pompeo palipoandikwa makonda kawa black listed kwa kusumbua mashoga by the way nitajie mashoga wa3 waliosumbuliwa na makonda?
 
Kwahy makonda kuwekewa vikwazo ndo sawa na nchi kuwekewa vikwazo?
Magnistky act hii style inaitwa wana deal na maafisa mmoja mmoja walioleta madhara badala ya nchi nzima.
Vikwazo huwa haiwekwi nchi nzima mkuu kuna priority issues kwani Iran na north Korea hawaendi UN?
 
Acha ujinga wewe! Nani hajui kuwa TANZANITE ipo Tanzania dunia nzima? Au hujui kama hujui?
Umesikia alichosema Tundu Lissu juzi wakati wanaenda huko Ruvuma kuwa walikutana na Malori kwa mamia yamebeba MAKAA YA MAWE yanapelekwa Bandarini na kusafirishwa kwenda China??
Hii nchi ni Tajiri lakn Utawala wa CCM ndo unaifanya nchi izidi kuwa Maskini na Ombaomba ilhali Utajiri ukipelekwa nje na pesa kugawanwa na Mafisadi wa CCM!!!
Povu lote hilo sasa mna kipi cha kuwapa hao wazungu? Maana na wao wanacheza vizuri na ccm ili wasikose wanachokipata ila upande wa pili watawapa nini? Hawafanyi kazi bure hao kisa tu wanawapenda au zile zuga za haki za binadamu..............mkono mtupu haulambwi
 
Magnistky act hii style inaitwa wana deal na maafisa mmoja mmoja walioleta madhara badala ya nchi nzima.
Vikwazo huwa haiwekwi nchi nzima mkuu kuna priority issues kwani Iran na north Korea hawaendi UN?
Hii ishu ya makonda nya lini na leo n mwaka gn
 
Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.

Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.

Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.

Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Anyway!
 
Hili iwe tetesi au isiwe kweli, hili linakuja. Unadhani No reforms, No elections imetokea msituni tu. CCM watakuja kujua imetoka wapi wakati wameshachelewa. Kwa mtu yeyote anayejua mambo haya, anajua hapa nchi inatafutwa kuadhibiwa na international communities
Hao International communities unawajua unawadikia tu
 
Back
Top Bottom