Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Nani asiye wajua CCM?? Hivi unajua hiyo pesa unayodai ya Watz ilitoka wapi????Hv unajua kuna mabilioni ya pesa za Watz walidhulumiwa pesa zao na Mwendazake JPM kwenye akaunti zao kwa kusingiziwa ni wauza madawa ya kulevya, utakatishaji fedha kwa kutumia sheria ya Money Loundering?

HV unajua kuna Wazee Wastaafu walio stahafu miaka ya 2018/9,2020/21/22/23 kwa kushindwa kulipwa mafao yao kwa sababu Serikali ya CCM kuchota fedha za Mifuko ya Jamii, NSSF na PSSSF ili watumie kwene Uchaguzi? Unalijua hilo au unaropokwa tu? Shame on you!
Acha uongo kawadanganye watoto wako mimi mzazi wangu alistaafu mwaka 2018 na baada ya miezi mitatu alilipwa pesa yake.

Hao wafanyabiashara unaosema walinyang'anywa pesa zao hiyo ni sheria ya TRA ambayo ipo mpaka sasa hivyo inafanyakazi usipolipa kodi unafungiwa Benki Akaunti yako na pesa inachuliwa sheria hiyo ipo (GANISHIO) siku nyingi na inaendelea kutumika mpaka sasa hivi. Sisi tunaofanya biashara tunajua ila nyinyi wababaishaji ndio mnatabika sana. Hivyo serikali ya awamu ya tano iliamua kwa dhati kusimamia sheria.

Kodi huwezi kukwepa hata kama utakaa miaka 100 ikija serikali makini itazidai kodi zote.

Ila wajuzi wa biashara kama wahindi na waarabu huwa wanajifirisi kampuni zao kwa kufuata sheria ndio walichofanya GSM kwenye kampuni yao ya awali kabla ya serikali ya awamu ya 5 haijaingia madarakani 2015. Akili mkichwa!!
 
Mwambie huyu nyumbu mwenzako bado anategemea vya bure karne hii. Naona Tindo unaanza kujitambua kidigo kidogo! 🤣🤣
Mimi najitambua muda mrefu, sema sina mapambio ya kichawa kama yako.
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.

Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.

Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.

Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!

Itapendeza...:MonkiFlip:
 
Vikwazo viliwekwa mkuu mfano makonda yupo black listed na pia misaada mingi ilizuiwa sema wewe kichwa maji hujui duniani nini kinajiri
Ona ulivyo beba kichwa kama mzigo makonda alipigwa ban kwa sababu ya kuwasumbua mashoga kama ww kwa taarifa yako
 
Wanawake mnamatatizo sana
Baba ako pia ni mwanamke kwasababu alicho nacho na mm ninacho sema nimemzid baba ako kitu kimoja mi nina mtoto anayejitambua halafu hapandwi ila ww sasa unapandwa ndyo shida ipo hapo
 
Mkuu mbona unawaumiza hivyo watu?!!! Waache wajipatie faraja aisee.
😀😀Saa hz nitawaacha maana tunajitahid kuwaelekeza lkn wp wanakaza mafuvu balaa kuna mmoja nafanya nae kazi aiseee mda wote yupo kwenye computer anaangalia video za lissu
 
Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.

Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.

Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.

Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Mna kipi cha kuwapa.....maana hao jamaa hawakingiagi watu kifua burebure,,,,,,kama DRC kupata ulinzi tu imebidi agawe madini , sasa kwa huku unadhani watatetea keyboard warrior huku hamna returns,,,,sema tu kwa sasa hata wao walishaona hakuna dili ndo maana wakaanzaga mapema kuwaondoa wakina usaid
 
usibweteke kwa tukio ambalo hadi makonda alizuiwa asiende USA

ishu hapo ni kuzuia demokrasia na matukio ya watu wasiojulikana ndio sababu ya vikwazo
Kwa taarifa yako makonda amezuiwa kuingia USA kwa sababu alikua anawasumbua sana mashoga kama ww mnakaa vijiweni huko mnatiana ujinga
 
Acha uongo kawadanganye watoto wako mimi mzazi wangu alistaafu mwaka 2018 na baada ya miezi mitatu alilipwa pesa yake.

Hao wafanyabiashara unaosema walinyang'anywa pesa zao hiyo ni sheria ya TRA ambayo ipo mpaka sasa hivyo inafanyakazi usipolipa kodi unafungiwa Benki Akaunti yako na pesa inachuliwa sheria hiyo ipo (GANISHIO) siku nyingi na inaendelea kutumika mpaka sasa hivi. Sisi tunaofanya biashara tunajua ila nyinyi wababaishaji ndio mnatabika sana. Hivyo serikali ya awamu ya tano iliam eua kwa dhati kusimamia sheria.

Kodi huwezi kukwepa hata kama utakaa miaka 100 ikija serikali makini itazidai kodi zote.

Ila wajuzi wa biashara kama wahindi na waarabu huwa wanajifirisi kampuni zao kwa kufuata sheria ndio walichofanya GSM kwenye kampuni yao ya awali kabla ya serikali ya awamu ya 5 haijaingia madarakani 2015. Akili mkichwa!!
Acha propaganda za kijinga wewe. Hv unafikiri Watz wote ni mazuxu eeh? Kawadanganye waongo wenzako kina Makalla wababaishaji!!!
Unasema Mzazi wako alistaafu 2018 akalipwa baada ya miezi 3! Alikuwa mfuko gani vile? Labda kama alikuwa ndugu wa Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha!!!!

Unajua mm naongea kitu with evidence! Jirani yangu mzee wa watu alikuwa Afisa mifugo alistaafu hiyo hiyo 2018 ilimchukua miaka 2 na miezi kadhaa kulipwa mafao yake na PSSSF! Kama hujui hayo malalamiko ya Wazee wastaafu lilishapgiwa kelele mpaka Bungeni ci mara 1 wala mara 2 but several times. Halafu unatuletea uxumbu kuku hapa! Kwendraa zako kafie mbali!!
 
CHADEMA wana akili mara mia zaidi kuliko CCM. Wanaposema No reforms No election haina maana kwamba lazima wazuie uchaguzi kwa kuingiza watu barabarani tu, hapana. Kuna njia nyingi za kuzuia uchaguzi ikiwa ni pamoja na kuishawishi jamii ya kimataifa kuisusa na kuiwekea vikwazo serikali.
 
Mna kipi cha kuwapa.....maana hao jamaa hawakingiagi watu kifua burebure,,,,,,kama DRC kupata ulinzi tu imebidi agawe madini , sasa kwa huku unadhani watatetea keyboard warrior huku hamna returns,,,,sema tu kwa sasa hata wao walishaona hakuna dili ndo maana wakaanzaga mapema kuwaondoa wakina usaid
Acha ujinga wewe! Nani hajui kuwa TANZANITE ipo Tanzania dunia nzima? Au hujui kama hujui?
Umesikia alichosema Tundu Lissu juzi wakati wanaenda huko Ruvuma kuwa walikutana na Malori kwa mamia yamebeba MAKAA YA MAWE yanapelekwa Bandarini na kusafirishwa kwenda China??
Hii nchi ni Tajiri lakn Utawala wa CCM ndo unaifanya nchi izidi kuwa Maskini na Ombaomba ilhali Utajiri ukipelekwa nje na pesa kugawanwa na Mafisadi wa CCM!!!
 
Acha propaganda za kijinga wewe. Hv unafikiri Watz wote ni mazuxu eeh? Kawadanganye waongo wenzako kina Makalla wababaishaji!!!
Unasema Mzazi wako alistaafu 2018 akalipwa baada ya miezi 3! Alikuwa mfuko gani vile? Labda kama alikuwa ndugu wa Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha!!!!

Unajua mm naongea kitu with evidence! Jirani yangu mzee wa watu alikuwa Afisa mifugo alistaafu hiyo hiyo 2018 ilimchukua miaka 2 na miezi kadhaa kulipwa mafao yake na PSSSF! Kama hujui hayo malalamiko ya Wazee wastaafu lilishapgiwa kelele mpaka Bungeni ci mara 1 wala mara 2 but several times. Halafu unatuletea uxumbu kuku hapa! Kwendraa zako kafie mbali!!
Unaona ulivyo muongo mwaka 2018 Waziri wa Fedha hakuwa Mwigulu bali Dr. Mpango na mfuko ulikuwa unaitwa PSPF na wala si PSSSF. Hapo tu inaonyesha jinsi usivyo na habari za kutosha. Na jina umeshajiita mwenyewe kuwa "ZUZU".

Pia elewa kuwa ikiwa data za mtumishi zikiwa sahihi hazina matatizo yoyote sheria inasema lazima alipwe mafao yake within 6 months otherwise mfuko unapigwa faini ya asilimia kati ya moja hadi tano (sikumbuki vizuri). Labda huyu ndugu yako data zake zilikuwa na matatizo.
 
Huna hoja hapo kusema Mwigulu Nchemba ni uwakilishi tu wa Waziri wa Fedha sijali ni lini. But ukweli upo palepale
Unaona ulivyo muongo mwaka 2018 Waziri wa Fedha hakuwa Mwigulu bali Dr. Mpango na mfuko ulikuwa unaitwa PSPF na wala si PSSSF. Hapo tu inaonyesha jinsi usivyo na habari za kutosha. Na jina umeshajiita mwenyewe kuwa "ZUZU".

Pia elewa kuwa ikiwa data za mtumishi zikiwa sahihi hazina matatizo yoyote sheria inasema lazima alipwe mafao yake within 6 months otherwise mfuko unapigwa faini ya asilimia kati ya moja hadi tano (sikumbuki vizuri). Labda huyu ndugu yako data zake zilikuwa na matatizo.
Acha kujifanya unajua sana huna lolote! Mfuko wa PSSSF ulianzishwa 1 August,2018. Sasa kama mtu alistaafu kuanzia hiyo tarehe na kulipwa after 2+ yrs ulitegemea alipwe na nani? I don't care kama Waziri wa Fedha alikuwa Mwigulu au Mpango maana yangu ni kutaka ku deliver my message kuwa ili ulipwe fasta by then lazima kuwa na nguvu ya Kigogo wa CCM!
Hv unakumbuka Mhe. Freeman Mbowe alizuiliwa fedha zake 2+ Billions zikachukuliwa na Serikali ya Mwendazake? Lakin baadae amekuja kurudishiwa na mama yenu Samia? Kama ilikuwa ni kukwepa Kodi, hela ikilpwa TRA huwa inarudishwa? Kubali tu kuwa ule ulikuwa ni uhuni, ujambazi na wizi wa mchana kweupe kwa raia!
 
Acha ujinga wewe! Nani hajui kuwa TANZANITE ipo Tanzania dunia nzima? Au hujui kama hujui?
Umesikia alichosema Tundu Lissu juzi wakati wanaenda huko Ruvuma kuwa walikutana na Malori kwa mamia yamebeba MAKAA YA MAWE yanapelekwa Bandarini na kusafirishwa kwenda China??
Hii nchi ni Tajiri lakn Utawala wa CCM ndo unaifanya nchi izidi kuwa Maskini na Ombaomba ilhali Utajiri ukipelekwa nje na pesa kugawanwa na Mafisadi wa CCM!!!
Mimi nipo barabarani hapa. Huwezi kukaa hapa barabarani dk.10 malori mawili yaliyobeba makaa ya mawe hayajapita.
 
Back
Top Bottom