Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Haiwezi kutokea hiyo, ccm bado wanawamidu chadema.
Hiyo ndo mikakati na mikataba ya zama za ujima ya kina Chifu Magungu. Tundu Lissu ndo ametufungua macho na imem-cost.Mimi nipo barabarani hapa. Huwezi kukaa hapa barabarani dk.10 malori mawili yaliyobeba makaa ya mawe hayajapita.
Huyo DJ Mbowe si alipeleka issue Mahakama ya Kodi lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa alikuwa anadaiwa kodi. Katika maridhiano ndio mama akaamua kumsamehe pia na wafanyabiashara wengine lakini haiondoi kuwa walikuwa wanadaiwa kodi.Huna hoja hapo kusema Mwigulu Nchemba ni uwakilishi tu wa Waziri wa Fedha sijali ni lini. But ukweli upo palepale
Acha kujifanya unajua sana huna lolote! Mfuko wa PSSSF ulianzishwa 1 August,2018. Sasa kama mtu alistaafu kuanzia hiyo tarehe na kulipwa after 2+ yrs ulitegemea alipwe na nani? I don't care kama Waziri wa Fedha alikuwa Mwigulu au Mpango maana yangu ni kutaka ku deliver my message kuwa ili ulipwe fasta by then lazima kuwa na nguvu ya Kigogo wa CCM!
Hv unakumbuka Mhe. Freeman Mbowe alizuiliwa fedha zake 2+ Billions zikachukuliwa na Serikali ya Mwendazake? Lakin baadae amekuja kurudishiwa na mama yenu Samia? Kama ilikuwa ni kukwepa Kodi, hela ikilpwa TRA huwa inarudishwa? Kubali tu kuwa ule ulikuwa ni uhuni, ujambazi na wizi wa mchana kweupe kwa raia!
Huyo DJ Mbowe si alipeleka issue Mahakama ya Kodi lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa alikuwa anadaiwa kodi. Katika maridhiano ndio mama akaamua kumsamehe pia na wafanyabiashara wengine lakini haiondoi kuwa walikuwa wanadaiwa kodi.
Huyu ndugu yako kama ilichukua miaka miwili bila kulipwa mafao yake lazima kunatatizo kwenye kumbukumbu za utumishi wake.
Sheria ya mafao iko wazi kabisa within 6 months lazima mtumishi awe amelipwa mafao yake lasivyo analipwa pamoja fine kasome sheria ya mafao ipo kwenye website ya PSSSF.
Zile safari za Lissu na Heche ughaibuni ndio madhara yake haya nini?Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
60 yrs za uhuru still wana ng'ang'ania tu. Na hawana maajabu. Hawajui kubuni vyanzo vya mapato na hawajui kuzitumia rasilimali zetu kwa usahihi. Badala yake wanazitumia hovyoTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Pia watazuia ndege na kuchukua pesa za wanaccm zote walizoficha kwenye Account za njeTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Polisiccm Chawaccm Tumeccm ndiyo sumu ya Demokrasia TanzaniaAlafu utayasikia machwa yakiimba mapambio ,nchi ipo na watu wajinga sana hasa machawa
KUNA WATU MAHABA YANAWAPANDISHA MZUKA KWA KINYATURUYaa
Yaan wafuasi wa Tundu wanavyotapatapa hadi huruma hiyo jumuiya iliacha kutuwekea vikwazo kipindi Lisu kumiminiwa risasi waweke sasa mnahangaika sikieni karibuni CCM halafu mnajua nini Samia mitano tena
Amos Makala IQ yake ni ndogo sana na ni mojawapo ya washauri vitu vya hovyo huko ccm , mda huu alipaswa awe jela kwa kesi ya uhaini, lakini polisiccm na mahakamaccm hawajathubutu kumgusaIvi kwa nini AMOS MAKALA hakukamatwa kwa uchochezi? kauli aliyoitoa kuwa CDM wanataka kueneza ugonjwa wa mpox na pasipo ushahidi mbona mpaka leo yupo uraiani. why tundu lisu, acha tupigwe pin tujipange.
Upotoshaji anao makala kwa upotoshaji wake mwingiacha upotoshaji wa kivivu gentleman 🐒
😀😀😀KUNA WATU MAHABA YANAWAPANDISHA MZUKA KWA KINYATURU
sifahamuUpotoshaji anao makala kwa upotoshaji wake mwingi

Wewe ndiyo muongo mkubwa huna lolote acha mletewe Vikwazo pesa zote mlizoiba na kuficha nje zitamezwa, ndege zitazuiwa ujinga wetu vitendeo vyenu haramu vya kutumia Polisiccm mahakamaccm kuwaonea kuwabambikia kesi chadema vitawagharimu , hakuna mabaya yasiyo na mwisho wapo wapi akina Magu, Bokasa, idd Amin Dada, Mabutu, omary bongo, Robert, Elbashiri wa Sudan na wenzao?Acha uongo kawadanganye watoto wako mimi mzazi wangu alistaafu mwaka 2018 na baada ya miezi mitatu alilipwa pesa yake.
Hao wafanyabiashara unaosema walinyang'anywa pesa zao hiyo ni sheria ya TRA ambayo ipo mpaka sasa hivyo inafanyakazi usipolipa kodi unafungiwa Benki Akaunti yako na pesa inachuliwa sheria hiyo ipo (GANISHIO) siku nyingi na inaendelea kutumika mpaka sasa hivi. Sisi tunaofanya biashara tunajua ila nyinyi wababaishaji ndio mnatabika sana. Hivyo serikali ya awamu ya tano iliamua kwa dhati kusimamia sheria.
Kodi huwezi kukwepa hata kama utakaa miaka 100 ikija serikali makini itazidai kodi zote.
Ila wajuzi wa biashara kama wahindi na waarabu huwa wanajifirisi kampuni zao kwa kufuata sheria ndio walichofanya GSM kwenye kampuni yao ya awali kabla ya serikali ya awamu ya 5 haijaingia madarakani 2015. Akili mkichwa!!
Lissu 1 sawa na CCM Chiwaga ukumbi mzima!!Ni aibu yaani CCM haina wasomi wa kumjibu lissu??