Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Yaa

Yaan wafuasi wa Tundu wanavyotapatapa hadi huruma hiyo jumuiya iliacha kutuwekea vikwazo kipindi Lisu kumiminiwa risasi waweke sasa mnahangaika sikieni karibuni CCM halafu mnajua nini Samia mitano tena
Mkuu mbona unawaumiza hivyo watu?!!! Waache wajipatie faraja aisee.
 
We ni kitoto Cha 2000 ee?!!! Huko kwenu lissu ndo ana akili yaani?!!😅😅😅
Kuwa kwanza utaijua ccm
 
Mnaota mchana kweupe
 
Amka

Utakojoa kitandani
 
Dokta wa manesi, njinjo wajititimua kujibu hoja za Lissu
 
Tutolee ugoro wako hapa na wewe... Kila tetesi ina source... Kama kila mtu akitoka maliwato akaandika tetesi anayojisikia tutafika kweli??? Weka source ya tetesi, haijalishi ni umbea au upashkuna.
 
Angeisha wekewa uganda na Rwanda na hakuna kitu
Strategist wa chadema kafail vibaya sana huwezi kuhubiri vita waziwazi kama walivyofanya wao
Ila hapa tumechezewa kamchezo na Hawa chadema nadhani wote mbowe na lisu wako kwenye payroll ya jumba jeupe wamewahiana Kila mmoja Kavuta mpunga kwa wakati wake Kisha wamefungua geti
 
Mbona mnahaha sana wazee??
 
Ndoto za mchana hizi. Wazungu wao wanaangalia maslahi yao tu. As long as wanapata kile wanachotaka hawawezi kushinikiza serikali kwa lolote.
 
Are you OK upstairs? Yaani watu millioni 60 wateseke kwa ndoto na giliba za mtu mmoja?

Wewe nenda Marekani uvulumishe matusi na misimamo mikali nchini kwao kama Trump hakufukuzi kama alivyomtimua Balozi wa South Africa.

Siku za kutegemea sanctions from USA are over under President Trump.Amewataka Waafrika warudi makwao yaani Africa to practice what they preach.

China,Russia,India,Japan South Korea,Saudia,Iran,Qatar,Kuwait,Bahrain, wako tiyari kuwekeza Tanzania regardless of what.

Na wakati huo huo European Union,UK, USA wanapitia wakati mgumu kiuchumi walishakata misaada kwa kiwango kikubwa for Third world.
PPP ya Bwana Kafulila ipo mbadala wa serikali kukopa IMF,na World Bank,unaazaje kumuwekea vikwazo Private Investor kama MO?
 
Hapa ndo rasilimali zetu zitabebwa vizuri sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…