Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,150
- 1,441
Hapo ndio umeharibu sasaYaa
Yaan wafuasi wa Tundu wanavyotapatapa hadi huruma hiyo jumuiya iliacha kutuwekea vikwazo kipindi Lisu kumiminiwa risasi waweke sasa mnahangaika sikieni karibuni CCM halafu mnajua nini Samia mitano tena
Mi nakutajia mmoja kwanza ww ni mmoja wao au unabisha nithibitisheHakuna kwenye barua ya Mike Pompeo palipoandikwa makonda kawa black listed kwa kusumbua mashoga by the way nitajie mashoga wa3 waliosumbuliwa na makonda?
Naona nakuuliza swali serious unaanza personal attacks. Wapi ushoga umetajwa kwenye ban ya makonda?Mi nakutajia mmoja kwanza ww ni mmoja wao au unabisha nithibitishe
2020Hii ishu ya makonda nya lini na leo n mwaka gn
kwa siasa ipi aliyofanya makonda mpaka waka mpiga stop kuingia USA hivi mambo wanayofanya wakina Yoweri museveni na kagame si wangepigwa wao ban nyie jipeni matumaniNaona nakuuliza swali serious unaanza personal attacks. Wapi ushoga umetajwa kwenye ban ya makonda?
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam. In that role, he has also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals.
The United States remains deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in Tanzania. This includes actions taken by the government that curtail freedom of expression, freedom of association, and right of peaceful assembly; target marginalized people and the political opposition; and jeopardize life.
Section 7031(c) provides that, in cases where the Secretary of State has credible information that foreign officials have been involved in significant corruption or a gross violation of human rights, those individuals and their immediate family members are ineligible for entry into the United States. The law also requires the Secretary of State to publicly or privately designate such officials and their immediate family members. In addition to the public designation of Paul Christian Makonda, the Department is also publicly designating his spouse, Mary Felix Massenge.
These actions against Paul Christian Makonda underscore our concern with human rights violations and abuses in Tanzania, as well as our support for accountability for those who engage in such violations and abuses. We call on the Tanzanian government to respect human rights and fundamental freedoms, including the freedom of expression, association, and the right of peaceful assembly
Museveni amezuiwa kwenda USA 🇺🇸? Mbona ameweka sheria ya kufunga mashoga?? Kwanin azuiwe makonda?kwa siasa ipi aliyofanya makonda mpaka waka mpiga stop kuingia USA hivi mambo wanayofanya wakina Yoweri museveni na kagame si wangepigwa wao ban nyie jipeni matumani
Wako busy kubet MkuuNi aibu yaani CCM haina wasomi wa kumjibu lissu??
Huu ni upumbavu ambao Wapinzani na wajinga wengine mumekaririshwa.Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Ndio kuwamudu kwenyewe hukoKuwamudu kwa njia haramu za kishetani kuwabambikia kesi za uhaini?
Ccm ilipaswa kumjibu lissu kwa maneno sio kumpa kesi isiyo halisia
Tumesikia kwa siku kuna malori 200++ kwa siku yanabeba makaa ya mawe kupelekwa bandarini ili kusafrishwa kwenda nje ya nji kimyakimya. Hiyo ndo hela za CCM za kifisadi.Huenda walishajiandaa, pesa ipo
Hopeless to the core. Wamejimilikisha Tanzania kuwa ni mali yao. Juzi Wassira a.k.a. Tyson amesikika akitamka hadharani kuwa CCM ITATAWALA MPAKA YESU ATAKAPO RUDI!!! What a shameless statement?Ccm ni hopeless
Tutapata kutoka uwarabuni😜😔, msinipopoe nimewaza tuu wapenziTunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025.
Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha Serikali ya CCM kwa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuinyima misaada ya Kifedha, Kijamii na kibinadamu.
Tukumbuke karibia zaidi ya 40% ya Bajeti ya Tanzania inatokana na misaada toka nje. Jumuia hizo ni pamoja na World Bank(WB), International Monetary Fund(IMF),AfDB(African Development Bank), EU( Europian Union), USAID( United States of America Aid) na Marekani yenyewe na nyingine nyingi.
Ikumbukwe kuwa Bajeti ya Uchaguzi wa Tanzania zaidi ya nusu inatokana na misaada toka nje. Sasa CCM wakiendelea na huu ujinga wao watakuta Uchaguzi unakwama kwa kukosa fedha za kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kukosa Fedha za kuendeshea Uchaguzi!!!
Wameendekeza sana UCHAWA, imekuwa kama Ndo maisha yao, ipo siku vitu vitagomaKule kumejaa wahuni na wababaishaji na waganga njaa watupu. Fikiria mtu kama CPA Makalla aliye ropoka hv karibuni kuwa CHADEMA wana mpango wa kununua virusi vya M-pox, Ebola na Covid-19 ili kuzuia Uchaguzi Mkuu 2025 usifanyike!!! Nonsense.