MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Najiuliza tu, Kama kanuni zinasema Timu itakayoingia uwanjani endapo mpinzani hatatokea basi adhabu hufuatia, Sasa Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo, Ndiye anapaswa kuamua mchezo uchezwe wapi, Je, siku hiyo akiamua kufunga milango ya uwanja kisha kutokomea na funguo nani ataingia na kudai alipeleka timu hivyo kanuni zifuatwe? Au wataruka na kuingia ndani? 😀
TFF na Bodi Ya Ligi acheni michezo ya ajabu isiyokuwa na tija na mpira wetu, Mmefanya makosa, kubalini siyo kushupaza shingo! Kiufupi na kikanuni mchezo tayari ulishachezwa tarehe 8, Hakuna mchezo mwingine wa derby msimu huu!
#YANGA BINGWA
#HATUCHEZI