June 13 Mwenyeji kafunga mlango kaondoka, Mgeni utaingiaje uthibitishe ulipeleka timu uwanjani?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Najiuliza tu, Kama kanuni zinasema Timu itakayoingia uwanjani endapo mpinzani hatatokea basi adhabu hufuatia, Sasa Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo, Ndiye anapaswa kuamua mchezo uchezwe wapi, Je, siku hiyo akiamua kufunga milango ya uwanja kisha kutokomea na funguo nani ataingia na kudai alipeleka timu hivyo kanuni zifuatwe? Au wataruka na kuingia ndani? πŸ˜€

TFF na Bodi Ya Ligi acheni michezo ya ajabu isiyokuwa na tija na mpira wetu, Mmefanya makosa, kubalini siyo kushupaza shingo! Kiufupi na kikanuni mchezo tayari ulishachezwa tarehe 8, Hakuna mchezo mwingine wa derby msimu huu!

#YANGA BINGWA
#HATUCHEZI
 
Tarehe 14
 
Ndo maana meneja tumepiga chini..tuna nyie mpka mfe
 
🀣
Hivi ninyi huwa mnawaza nini?

Muwe mnasoma kanuni basi....

Kikao cha maandalizi ya mechi huwa kinajadili nini? Na timu isipohudhuria kikao cha maandalizi nini hufanyika?😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…