The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #21
Sahihi kabisa kwa family level hasa kama watoto bado wadogo ila kama ni vijana watu wazima wanaoelewa hali ikoje njia bora ni kuwaambia ukweli wote. Uongo hautasaidia.Ukilia njaa kwa wananchi walkout huo ni udhaifu kwa kiongozi. Inabidi upambane kwa kila mbinu kuhakikisha chakula kinapatikana.
Huwezi lalamika kwa wanao chakula hakipo wakati uko na jinsi ya kupata chakula huo ni uzembe. Hata kwa kuiba unawezafanya ili kuokoa familia na kufedheheka.
Je andiko la serikali ya Tanzania kuomba ahuweni ya mikopo toka IMF / World Bank limezingatia hilo au wame kopi na kupesti toka nchi zilizoona mbali kama za Rwanda, Uganda na Kenya kuendelea kuipiga vita Covid -19 kwa kutoa takwimu, mass testing / kulazimisha upimaji kwa wote bila kujali wana dalili au hapana za covid-19, kufuata makubaliano ya kubadilishana taarifa, kuzingatia miongozo ya WHO / CDC / AU/ EAC / SADC n.k ikiwemo total lockdown, partial lockdown na ile ya mchanganyiko wa curfew& lockdown ?
Mmmh, haya bana ila. kuna wapinzaniSahihi kabisa kwa family level hasa kama watoto bado wadogo ila kama ni vijana watu wazima wanaoelewa hali ikoje njia bora ni kuwaambia ukweli wote. Uongo hautasaidia.
Mkuu Mfukua Makaburi, kwanza asante kwa taarifa hii toka IMF.Tanzania tumeomba tusamehewe chini ya hiyo relief programme ili tupate pesa ya kutusaidia kupata vifaa tiba vya kupambana na corona.
Kwenye barua yake ya kuomba serikali imesema imeshindwa kufanya vipimo na kufuatilia muenendo wa corona kwa sababu ya ukosefu wa pesa.
Haituhusu, Sisi tumekubali Mziki wa JPM 2020 . Mungu Mlinde Rais wetu mwenye Mapenzi Mema na nchi yetu.Kigogo kesharusha hii document mitandaoni!!
Hapo kwenye kutoa ripoti hadharani,kuna watu inabidi tu wakubali kishingo upande.
Hata kama itakuwa ni kusamehewa kulipa madeni kwa muda huo kutokana na athari za corona kiuchumi, nafuu hiyo inaweza kutumika zaidi katika kujenga miundombinu na si kugusa moja kwa moja maisha ya watu maana awamu hii inathamini zaidi maendeleo ya vitu kuliko watu unless unafuu wa kulipa madeni uendane na mashariti maalumu kuhakikisha wananchi wananufaika nao moja kwa moja.
Kwa mfano,kwa hapa nchini,serikali inatakiwa kutumia unafuu huo wa kulipa madeni(kama utatolewa) ama kwa kuongeza mishahara ya watumishi au kulipa madeni yao,kufidia sekta zilizoathirika na covid kama utalii,n.k.
Mkuu p.Mkuu Mfukua Makaburi, kwanza asante kwa taarifa hii toka IMF.
Nina kaswali kamoja kadogo, katika barua hiyo ya IMF, hakuna popote walipoeleza hoja za serikali yetu kuomba msaada huo!, sasa hizo hoja kuwa Tanzania tumeshindwa kuwapima Corona watu wetu kwasababu ya ukosefu wa fedha, umezitoa wapi?!
P
Ninaunga mkono hoja.Mimi Ni Mtanzania lakini siafiki Tanzania kupewa msaada wa pesa za kupambana na korona wakati nchi yetu haina korona. Nashauri pesa hiyo ielekezwe kwenye nchi ambazo bado zina changamoto ya korona
Kwa kuwa Tanzania inadai imefanikiwa kudhibiti virusi vya Korona, nashauri isipewe misaada ya kupambana na Korona
Only money can bring us to our knees.Nobody can bring us to our knees,Tanzania is a Sovereignty State.
Hiyo ya April umeitoa wapi?Zitto hajaandika barua ya kuomba tunyimwe hiyo nafuu?
Nafuu tuliomba April ,wao wanakaa june 10,tumeshapita kwenye hali ngumu,watupe wasitupe haitatuathiri kama nchi
Kenya walikubali lock down,wamelamba usd 1 bilioni fasta,bila vikao vya bodi,kazi itakua kuirudisha baada ya corona kwisha
Kuna Shida mahali... Mnasema barua iliandikwa April, lakini mnayoonyesha hapo (post #20) ni ya May 27. Tushike lipi!?Zitto hajaandika barua ya kuomba tunyimwe hiyo nafuu?
Nafuu tuliomba April ,wao wanakaa june 10,tumeshapita kwenye hali ngumu,watupe wasitupe haitatuathiri kama nchi
Kenya walikubali lock down,wamelamba usd 1 bilioni fasta,bila vikao vya bodi,kazi itakua kuirudisha baada ya corona kwisha
Walitaka tusambaratike kwanza,ili iwe rqhisi kutunyongolotaSisi tuliombq April wao wanakuja june wakati tumesha sahau kabisa mambo ya Corona hahahaha wasitoe kabisa
Swali hapa! Je tuliomba mkopo au hatukuombaYaani Chadema mkiitwa hamjitambui mtakataa eti amerusha documents !
Yaani mpo km wale...
Swali hapa ni je tuliomba mkopo au la?Kuna members akili zao zimeshikiliwa na wazungu.
Nobody can bring us to our knees,Tanzania is a Sovereignty State.