Juni 10 IMF & World Bank kuamua iwapo Tanzania tunakidhi kupewa mkopo tulioomba kupambana na corona au hatustahili

Tumeambiwa watalii wameanza kumiminika au Kigwangala muongo.

Kuanza kupona kidonda hakuwezi lingana na kutokuwa na kidonda kabla,
Bado urabaki na kovu tofauti na ulipokuwa kujaumia,
 
Hali tayari iliishakuwa mbaya kabla hata ya Corona kuja ila sasa inataka kutumiwa kama kisingizio cha kuomba msaada.

Lkn kama Tanzania itapewa hiyo "Relief" itakuwa ni kwa hisani ya ripoti iliyotolewa na ubalozi wa Marekani nchini na wala sio eti kwa kilio cha akina Mpango ambao siku zote walichofanya ni kuficha "Extent" ya maambukizi.

We have very incompetent and irresponsible men whom we wrongly refer to as leaders doing this country a great disservice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…