Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Tumeambiwa watalii wameanza kumiminika au Kigwangala muongo.
Kuanza kupona kidonda hakuwezi lingana na kutokuwa na kidonda kabla,
Bado urabaki na kovu tofauti na ulipokuwa kujaumia,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeambiwa watalii wameanza kumiminika au Kigwangala muongo.
Haina athari yeyote Mkuu sema GOGOKI kaipata kabla hata Dotto James hajaisoma.Kwahiyo hiyo barua inaiathiri vipi selikali?
Nakuunga mkono.Mimi Ni Mtanzania lakini siafiki Tanzania kupewa msaada wa pesa za kupambana na korona wakati nchi yetu haina korona. Nashauri pesa hiyo ielekezwe kwenye nchi ambazo bado zina changamoto ya korona
Kwa kuwa Tanzania inadai imefanikiwa kudhibiti virusi vya Korona, nashauri isipewe misaada ya kupambana na Korona