Nafikiri ndiyo peak ya talents nyingi za brazil baada ya hapo wakaanza kuzalisha short lived talents za miaka miwili zinapotea kama upepo wa kisulisuliBrazil ile kikosi ya 2002 ilikuwa ni shida sana kupenya, nilikuwa mpenzi wa Giovane Elber akiwa Bayern. Lakini alikosa kwenye kile kikosi na ubora wake wote.
Nafikiri ndiyo peak ya talents nyingi za brazil baada ya hapo wakaanza kuzalisha short lived talents za miaka miwili zinapotea kama upepo wa kisulisuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa njia pekee ni kubadili mbinu za ushindani soka Lao bado linategemea sana individual talents ambako dunia imeshatoka.Kabisa aisee, baada ya pale Brazil haijawa loaded kama vile.
Hawa wa sasa (kina Neymar) ndo wataisha bila kufika hata Final ya WC.
muongezee na zerobetoBrazil ile kikosi ya 2002 ilikuwa ni shida sana kupenya, nilikuwa mpenzi wa Giovane Elber akiwa Bayern. Lakini alikosa kwenye kile kikosi na ubora wake wote.
muongezee na zerobeto
inatokezea baadhi ya nyakati taifa fulani linakuwa na uhaba wa wachezaji au kinyume chake...Yes, hii ilikuwa shida nyingine.
inatokezea baadhi ya nyakati taifa fulani linakuwa na uhaba wa wachezaji au kinyume chake...
kwa mfano germany kwa miaka hii ya karibuni wamejaaliwa kizazi kikubwa sana cha wachezaji
Belgium wameshindwa kuingiza kizazi kipya ndani ya muda mfupi kitakachoweza kuziba nafasi itakayoachwa na kizazi kilichopo, kipindi kile netherland walikuwepo wachezaji wenye ubora lakini walishindwa kuingizwa kwenye mfumo, AC milan walifanya kosa kama hilo na hatimaye ikawa ndio sababu ya anguko laoYes mkuu, ninaiona pia Netherlands ikirudi baada ya kupotea kwa muda.
Belgium pia upepo unaweza kukata si muda mrefu. Maana hawa nawaona kabisa kizazi chao kikipotea bila kupata mafanikio kama ilivyotokea kwa Netherlands ya kina De Boers, Kluivert, Edgar Davids, Bergkamp, Overmars, Stam, nk nk.
Nafikiri nchi za Netherlands, Portugal na Germany kwa sasa wana wachezaji wengi wenye vipaji hata England pia kwenye baadhi ya maeneo.Yes mkuu, ninaiona pia Netherlands ikirudi baada ya kupotea kwa muda.
Belgium pia upepo unaweza kukata si muda mrefu. Maana hawa nawaona kabisa kizazi chao kikipotea bila kupata mafanikio kama ilivyotokea kwa Netherlands ya kina De Boers, Kluivert, Edgar Davids, Bergkamp, Overmars, Stam, nk nk.
Pamoja na yote toka kizazi chao hiki kimeibuka hawajawahi tena kuibua wachezaji wazuri vijana.Belgium wameshindwa kuingiza kizazi kipya ndani ya muda mfupi kitakachoweza kuziba nafasi itakayoachwa na kizazi kilichopo, kipindi kile netherland walikuwepo wachezaji wenye ubora lakini walishindwa kuingizwa kwenye mfumo, AC milan walifanya kosa kama hilo na hatimaye ikawa ndio sababu ya anguko lao
tofauti na germany ambao wamekuwa na utamaduni wa kuchanganya kikosi kwa miaka hii ya karibuni, ndani ya kikosi kimoja unaweza kukutana na kizazi chenye miaka 21 - 30.
lakini ukiangalia kikosi cha belgium wengi wao wana miaka 27 hadi 32.
world cup inachezwa kila baada ya miaka minne
UEFA ndio hivyo hivyo
Messi hana shibe ya kufunga nje ya mita 25Hao akina Beckham na Riquelme usiwaoredheshe sababu walikuwa katika zama za Juninho (Kipindi ambacho wewe unadai kilikuwa na makipa uchwara) Kuhusu huyo Messi ana goli ngapi za Freekick ? Goli lake la mbali zaidi la Freekick lilikuwa na umbali gani?
Ujerumani pia washakata moto,hawana tena wachezaji wa kueleweka.Yes mkuu, ninaiona pia Netherlands ikirudi baada ya kupotea kwa muda.
Belgium pia upepo unaweza kukata si muda mrefu. Maana hawa nawaona kabisa kizazi chao kikipotea bila kupata mafanikio kama ilivyotokea kwa Netherlands ya kina De Boers, Kluivert, Edgar Davids, Bergkamp, Overmars, Stam, nk nk.
Huyu jamaa akipigia freekicks hesabu goli nilishawahi shuhudia mechi Fulani anaenda kupiga freekicks nikawaambia Wana jamaa anafungua huyu na kweli akafunga
Sent using Jamii Forums mobile app