Juninho Pernambucano: Mpiga freekick bora kuwahi kumtizama

Brazil ile kikosi ya 2002 ilikuwa ni shida sana kupenya, nilikuwa mpenzi wa Giovane Elber akiwa Bayern. Lakini alikosa kwenye kile kikosi na ubora wake wote.
Nafikiri ndiyo peak ya talents nyingi za brazil baada ya hapo wakaanza kuzalisha short lived talents za miaka miwili zinapotea kama upepo wa kisulisuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa aisee, baada ya pale Brazil haijawa loaded kama vile.

Hawa wa sasa (kina Neymar) ndo wataisha bila kufika hata Final ya WC.
 
Kwa sasa njia pekee ni kubadili mbinu za ushindani soka Lao bado linategemea sana individual talents ambako dunia imeshatoka.

Wanatakiwa wabadili mbinu zao ikiwezekana waajiri makocha kutoka ulaya waweze kuimplant new strategies kwenye national teams zao.

Soka la leo matumizi ya raw talents yako limited sana ndiyo maana wachezaji wao hata kwenye soka la ulaya wengi wanastruggle sana kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inatokezea baadhi ya nyakati taifa fulani linakuwa na uhaba wa wachezaji au kinyume chake...

kwa mfano germany kwa miaka hii ya karibuni wamejaaliwa kizazi kikubwa sana cha wachezaji

Yes mkuu, ninaiona pia Netherlands ikirudi baada ya kupotea kwa muda.

Belgium pia upepo unaweza kukata si muda mrefu. Maana hawa nawaona kabisa kizazi chao kikipotea bila kupata mafanikio kama ilivyotokea kwa Netherlands ya kina De Boers, Kluivert, Edgar Davids, Bergkamp, Overmars, Stam, nk nk.
 
Belgium wameshindwa kuingiza kizazi kipya ndani ya muda mfupi kitakachoweza kuziba nafasi itakayoachwa na kizazi kilichopo, kipindi kile netherland walikuwepo wachezaji wenye ubora lakini walishindwa kuingizwa kwenye mfumo, AC milan walifanya kosa kama hilo na hatimaye ikawa ndio sababu ya anguko lao

tofauti na germany ambao wamekuwa na utamaduni wa kuchanganya kikosi kwa miaka hii ya karibuni, ndani ya kikosi kimoja unaweza kukutana na kizazi chenye miaka 21 - 30.

lakini ukiangalia kikosi cha belgium wengi wao wana miaka 27 hadi 32.
world cup inachezwa kila baada ya miaka minne
UEFA ndio hivyo hivyo
 
Nafikiri nchi za Netherlands, Portugal na Germany kwa sasa wana wachezaji wengi wenye vipaji hata England pia kwenye baadhi ya maeneo.

Nchi za Southern America miaka hii vipaji vimekuwa vyakubahatisha bahatisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Belgium wameshindwa kuingiza kizazi kipya ndani ya muda mfupi kitakachoweza kuziba nafasi itakayoachwa na kizazi kilichopo, kipindi kile netherland walikuwepo wachezaji wenye ubora lakini walishindwa kuingizwa kwenye mfumo, AC milan walifanya kosa kama hilo na hatimaye ikawa ndio sababu ya anguko lao

tofauti na germany ambao wamekuwa na utamaduni wa kuchanganya kikosi kwa miaka hii ya karibuni, ndani ya kikosi kimoja unaweza kukutana na kizazi chenye miaka 21 - 30.

lakini ukiangalia kikosi cha belgium wengi wao wana miaka 27 hadi 32.
world cup inachezwa kila baada ya miaka minne
UEFA ndio hivyo hivyo
Pamoja na yote toka kizazi chao hiki kimeibuka hawajawahi tena kuibua wachezaji wazuri vijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliwahi kupiga free kick moja Eufa kama sikosei kama mita 40 kwenye left flank tukamlaumu golikipa

Iliporudiwa tukaona mpira unakata corner karibia na aliposimama goalkeeper ,The magician fulani hivi
Yaani mpira una refract either chini au kushoto ukikaribia target
 
Hao akina Beckham na Riquelme usiwaoredheshe sababu walikuwa katika zama za Juninho (Kipindi ambacho wewe unadai kilikuwa na makipa uchwara) Kuhusu huyo Messi ana goli ngapi za Freekick ? Goli lake la mbali zaidi la Freekick lilikuwa na umbali gani?
Messi hana shibe ya kufunga nje ya mita 25

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes mkuu, ninaiona pia Netherlands ikirudi baada ya kupotea kwa muda.

Belgium pia upepo unaweza kukata si muda mrefu. Maana hawa nawaona kabisa kizazi chao kikipotea bila kupata mafanikio kama ilivyotokea kwa Netherlands ya kina De Boers, Kluivert, Edgar Davids, Bergkamp, Overmars, Stam, nk nk.
Ujerumani pia washakata moto,hawana tena wachezaji wa kueleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom