Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizazi cha Brazil kilichocheza world cup 1998, 2002, na 2006 kilikuwa na watu hatari sana ndiyo maana alikuwa hapati nambaMbrazil alikuwa nyoko sana lakini hakuwemo kwenye 1st eleven ya Brasil
Mkuu umesahau watu wawiliKatika maisha yangu ya kutazama soka, sijawahi kuona mtu anapiga freekicks kama huyu mwamba, najua wapo kina beckham, ronadinho, messi, zidane, fundi pirlo, cr7, shunshuke nakamura na wengine wengi, ila juninho hana mpinzani, jamaa alikuwa hatar, zaidi ya hatari, kwanza hakuwa na eneo maaluum tofauti na hawa wengi ambao kuna sehemu na sehemu, jamaa ilikuwa popote anakuweka..
Inakadiriwa alifunga magoli ya freekicks yapatayo 80 kasoro kidogo katika official matches.. jamaa alikipa sana lyon ile iliyobeba ubingwa mara 7 mfululizo, katika goli 100 alizofunga pale lyon basi 44 ni za faulo..
Na upigaji wake ndio kuna baadhi ya wachezaji wamechukua kwake..
Heshima kwako juninho pernambucano.
Kwa nyakati tofauti suker alikipiga madrid na arsenal.. Nakumbuka kuna game na liver alituchomesha alikosa penati dk za nyongeza kabisa. Nadhani ni msimu ambao titi camara alikuwepo liverpoolSio lazima kila mchezaji nyota acheze hizo timu! Unamkumbuka All time goal scorer wa EPL? Unajua aliwika wapi na alistaafia wapi? Unamfahamu mtu alieitwa DEVOR SUKER? Hao waliwika pasi na kuchezea hizo timu ulizotaja!
magnificent
Kuna jamaa nmemsahau aliwahi kutia hat trick ya freekick.Piere van hoojdoonk ktk game moja hiv siikumbuki alipiga faulo ya kwanza ikagonga besela... Ikatokea mistake hiyo faulo ikarudiwa akapiga tena ikagonga pale pale ilipogonga besela faulo ya kwanza
Kuna tofauti kidogo japo ni watu wanaofanana, ila elber alikuwa ni striker.senta fowadi
Shukrani.Maelezo yanajitosheleza.View attachment 665071
Ile ndio ilikuwa brazil haswa.Wakati Munich ilikuwa panga pangua lazima aanze
Alinifurahisha sana mwamba.. Kitu kizur alikuwa anajijua ubora wakeHìyo mechi naikumbuka ilipigwa sansiro
Hapana, hajawahi kupitia liver.Huyu alichezea liver au?
Dah! Kosa kubwa, nisamehe mkuuMkuu umesahau watu wawili
Gheogre Hagi na Hirsto stoichkov
Abubakary titi Camara from Guinea nafikiri alikuwa mwiba sana pale mbele LiverpoolKwa nyakati tofauti suker alikipiga madrid na arsenal.. Nakumbuka kuna game na liver alituchomesha alikosa penati dk za nyongeza kabisa. Nadhani ni msimu ambao titi camara alikuwepo liverpool
Gheogre Hagi, Romania moja hiyoMkuu umesahau watu wawili
Gheogre Hagi na Hirsto stoichkov
Kwa Brazil ile angemtoa naniMbrazil alikuwa nyoko sana lakini hakuwemo kwenye 1st eleven ya Brasil
Timu ya taifa ya brazil kwa miaka hiyo zilicheza kitimu sana badala ya kutegemea uwezo wa mchezaji mmojammoja.Ile ndio ilikuwa brazil haswa.