kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Aisee mpira wa Enzi hizo hatareee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi ukiitafuna ina madhara sana yani akina Casillas, Buffon, Petr Cech, Dida nk uwaite makipa uchwara ina maana hawa akina Oblack, De Gea, Kepa, ndio bora? Kuweni na adabu japo kidogoKakutana na makipa uchwara,,,yani freekik za kawaida sana hizo sema mahaba yamewazid.
Bangi ukiitafuna ina madhara sana yani akina Casillas, Buffon, Petr Cech, Dida nk uwaite makipa uchwara ina maana hawa akina Oblack, De Gea, Kepa, ndio bora? Kuweni na adabu japo kidogo
Hao akina Beckham na Riquelme usiwaoredheshe sababu walikuwa katika zama za Juninho (Kipindi ambacho wewe unadai kilikuwa na makipa uchwara) Kuhusu huyo Messi ana goli ngapi za Freekick ? Goli lake la mbali zaidi la Freekick lilikuwa na umbali gani?Mahaba yamekuzidi,,,punguza jombaa
Unawajua hawa👇🏿au ulikuwa bado unanyonya
Messi
Beckham
Requelme
Huyo mtu wakuitwa vikash Dhorasoo alikua anahatari bonge moja la play maker halafu alikua na uwezo mkubwa wakutembea na mali best dribler. Dah na hilo beki lao Cris lilikua linakula upara masaa yote.Benzema mtoto mdogo tuu kwenye Ile Lyon...mbele kulikuwa na sonny Anderson,Sydney govou, wiltord,malouda..baadae akaongezeka elber..kiungo ndio balaa..pernambucano,vikash dhorasoo,mamadou diara,essien,edmilison..mabeki cacapa,cris,liverile,pasquale..huku golin yupo coupet..manager Claude le puen..
Katika maisha yangu ya kutazama soka, sijawahi kuona mtu anapiga freekicks kama huyu mwamba, najua wapo kina beckham, ronadinho, messi, zidane, fundi pirlo, cr7, shunshuke nakamura na wengine wengi, ila juninho hana mpinzani, jamaa alikuwa hatar, zaidi ya hatari, kwanza hakuwa na eneo maaluum tofauti na hawa wengi ambao kuna sehemu na sehemu, jamaa ilikuwa popote anakuweka..
Inakadiriwa alifunga magoli ya freekicks yapatayo 80 kasoro kidogo katika official matches.. jamaa alikipa sana lyon ile iliyobeba ubingwa mara 7 mfululizo, katika goli 100 alizofunga pale lyon basi 44 ni za faulo..
Na upigaji wake ndio kuna baadhi ya wachezaji wamechukua kwake..
Heshima kwako juninho pernambucano.
Utasemaje master wa eneo moja,wakati timu ikiwa imezidiwa au kuwa nyuma kwa goal/goals wachezaji wenzake wanajitahidi kutafuta faulo popote karibu na lango la wapinzani na ikitokea anawaweka?hiyo ndio Plan B.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa na makengeza wewe.
Nyuma ya mafanikio ya Olympic Lyon ya 7 years consecutive titles alikuwa Juninho Penambucano.
Lyon hawa walimtoa Real Madrid kwa miaka mitatu mfululizo kwenye UEFA champions League quarterfinals.
Juninho ndiye alikuwa fundi wa pale central midfield akitawanya mipira kama hana akili timamu.
Unazungumzia timu kubwa kutomhitaji ? Mbona Allan Shearer hakuwahi kuhitajiwa na hizo timu za Real Madrid unazozitaja hapa.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakutana na makipa uchwara,,,yani freekik za kawaida sana hizo sema mahaba yamewazid.
100%
Huyo mwamba [emoji91][emoji91]
Ukuta hata wakae watu 30 atapitisha mpira[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kupishana na huu uzi sana nikaamua kuzama youtube
Asee Messi akasome
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Messi
Mahaba yamekuzidi,,,punguza jombaa
Unawajua hawa[emoji1541]au ulikuwa bado unanyonya
Messi
Beckham
Requelme
Acha kufananisha vitu vya kipumbavu na mtu kama pirlo, ronadinho,beckam
Free kick ya beckam ilikua inatumika kufundishia physics huko ulaya kwenye topic za projectile motion.
Who is juninho? Brazil hata hawamjui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimtoa RM afu wakaishia wapi?
Unaweza kumtoa mtu sio sababu ya uwezo wako bali sababu ya udhaifu wake.
Unaongelea league1, farmers league, one-sided league. Ile ni league dhaifu kuliko zote in Europe's top-flight leagues.