Juninho Pernambucano: Mpiga freekick bora kuwahi kumtizama

Juninho Pernambucano: Mpiga freekick bora kuwahi kumtizama

Mbrazil alikuwa nyoko sana lakini hakuwemo kwenye 1st eleven ya Brasil
Ni kweli aliishia bench ila kuna mechi flan Worldcup ya 2006 Ujeruman,Brazil alishafuzu mtoano kikaanzishwa kikosi B na jamaa alikuwemo,ulipigwa mpira wa ajabu sana.Asante sana Juninho ulituburudisha wengi.Penambucano Ni jina la Jimbo la kwao,alipewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima kila mchezaji nyota acheze hizo timu! Unamkumbuka All time goal scorer wa EPL? Unajua aliwika wapi na alistaafia wapi? Unamfahamu mtu alieitwa DEVOR SUKER? Hao waliwika pasi na kuchezea hizo timu ulizotaja!
Hata Pele hakucheza hizo timu.Alan Shearer aliishia New castle,Davor Shuka Arsenal,Hassan Sasi,Hassan Sukur waliishia Galatasary ,JJ Okocha naye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fe1aab0f-be05-4bee-a022-883cc839bd49-1336x2040.jpeg
Huyu mwana ni hatari Sana! Kuna mechi moja walikipiga na AC Milan kipindi cha Chevy Shenko, jamaa ikiwa free kick karibu na 18 hakosei, kitu ndani.
 
Greatest Free-Kick Takers of All Time.
kwa mujibu wa daemusin kwa msaada wa youtube.
  1. Juninho pernambucano
  2. Sinisa Mihajlovic. (mtafuteni huyu jamaaa kwa ambaye hajamuona)
  3. David beckham
  4. ronald koeman (anafundisha uholanzi)
  5. lionel messi
  6. Gheorghe Hagi na wenzake waliobakia
Roberto Carlos na

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli aliishia bench ila kuna mechi flan Worldcup ya 2006 Ujeruman,Brazil alishafuzu mtoano kikaanzishwa kikosi B na jamaa alikuwemo,ulipigwa mpira wa ajabu sana.Asante sana Juninho ulituburudisha wengi.Penambucano Ni jina la Jimbo la kwao,alipewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
World cup 2002 alicheza mechi zote za group stage na round of 16 sasa sijajua hilo benchi mnalizungumzia lipi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli aliishia bench ila kuna mechi flan Worldcup ya 2006 Ujeruman,Brazil alishafuzu mtoano kikaanzishwa kikosi B na jamaa alikuwemo,ulipigwa mpira wa ajabu sana.Asante sana Juninho ulituburudisha wengi.Penambucano Ni jina la Jimbo la kwao,alipewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kama sikosei katika madhindano hayo alifunga mgoli mmoja wa ajabu mnoo! Mita ka 40 hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuwahi kuwa first eleven,ndo hoja ya mjumbe hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu yangu kuwa first eleven ya brazil kama ile shughuli pevu, huyo gwiji romario tu 2002 aliachwa kikosini, laiti kama angekuwa mataifa mengine inawezekana angepata nafasi ya kuanza, brazil ilikuwa kujumuishwa kikosi cha timu ya taifa tu ni heshima tosha.

Brazil ile kikosi ya 2002 ilikuwa ni shida sana kupenya, nilikuwa mpenzi wa Giovane Elber akiwa Bayern. Lakini alikosa kwenye kile kikosi na ubora wake wote.
 
Back
Top Bottom