Sungura dume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 571
- 527
Kijana wa juzi ushazoea kibao kata huku hutaelewa!!!Bila video wengine ni vigumu kutuaminisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wa juzi ushazoea kibao kata huku hutaelewa!!!Bila video wengine ni vigumu kutuaminisha
Ni kweli aliishia bench ila kuna mechi flan Worldcup ya 2006 Ujeruman,Brazil alishafuzu mtoano kikaanzishwa kikosi B na jamaa alikuwemo,ulipigwa mpira wa ajabu sana.Asante sana Juninho ulituburudisha wengi.Penambucano Ni jina la Jimbo la kwao,alipewa tu.Mbrazil alikuwa nyoko sana lakini hakuwemo kwenye 1st eleven ya Brasil
Hakuwahi kuwa first eleven,ndo hoja ya mjumbe hapa.Alikuwepo mkuu kwa kumbukumbu zangu had 2002 na 2006 alikuwepo
Hata Pele hakucheza hizo timu.Alan Shearer aliishia New castle,Davor Shuka Arsenal,Hassan Sasi,Hassan Sukur waliishia Galatasary ,JJ Okocha naye?Sio lazima kila mchezaji nyota acheze hizo timu! Unamkumbuka All time goal scorer wa EPL? Unajua aliwika wapi na alistaafia wapi? Unamfahamu mtu alieitwa DEVOR SUKER? Hao waliwika pasi na kuchezea hizo timu ulizotaja!
Huyu mwana ni hatari Sana! Kuna mechi moja walikipiga na AC Milan kipindi cha Chevy Shenko, jamaa ikiwa free kick karibu na 18 hakosei, kitu ndani.
Roberto Carlos naGreatest Free-Kick Takers of All Time.
kwa mujibu wa daemusin kwa msaada wa youtube.
- Juninho pernambucano
- Sinisa Mihajlovic. (mtafuteni huyu jamaaa kwa ambaye hajamuona)
- David beckham
- ronald koeman (anafundisha uholanzi)
- lionel messi
- Gheorghe Hagi na wenzake waliobakia
McAlister was Liverpool vipi?Greatest Free-Kick Takers of All Time.
kwa mujibu wa daemusin kwa msaada wa youtube.
- Juninho pernambucano
- Sinisa Mihajlovic. (mtafuteni huyu jamaaa kwa ambaye hajamuona)
- David beckham
- ronald koeman (anafundisha uholanzi)
- lionel messi
- Gheorghe Hagi na wenzake waliobakia
World cup 2002 alicheza mechi zote za group stage na round of 16 sasa sijajua hilo benchi mnalizungumzia lipi ?Ni kweli aliishia bench ila kuna mechi flan Worldcup ya 2006 Ujeruman,Brazil alishafuzu mtoano kikaanzishwa kikosi B na jamaa alikuwemo,ulipigwa mpira wa ajabu sana.Asante sana Juninho ulituburudisha wengi.Penambucano Ni jina la Jimbo la kwao,alipewa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaangalie vizuri mechi za world cup 2002 alicheza karibia mechi zote
Ni kweli aliishia bench ila kuna mechi flan Worldcup ya 2006 Ujeruman,Brazil alishafuzu mtoano kikaanzishwa kikosi B na jamaa alikuwemo,ulipigwa mpira wa ajabu sana.Asante sana Juninho ulituburudisha wengi.Penambucano Ni jina la Jimbo la kwao,alipewa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
World cup 2002 alicheza mechi zote za group stage na round of 16 sasa sijajua hilo benchi mnalizungumzia lipi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaangalie vizuri mechi za world cup 2002 alicheza karibia mechi zote
Sent using Jamii Forums mobile app
HakuwepoKaangalie vizuri mechi za world cup 2002 alicheza karibia mechi zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Correct mkuu [emoji106]Sina uhakika ila nahisi 2002 worldcup hakuwepo alikuwepo ile ya 2006
2002 alikuwa ni Juninho Paulista yule wa middlesbrough
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu kuwa first eleven ya brazil kama ile shughuli pevu, huyo gwiji romario tu 2002 aliachwa kikosini, laiti kama angekuwa mataifa mengine inawezekana angepata nafasi ya kuanza, brazil ilikuwa kujumuishwa kikosi cha timu ya taifa tu ni heshima tosha.
Sent using Jamii Forums mobile app