Junior katika ubora wake

Junior katika ubora wake

Wazungu wanasolve matatizo Yao kwa hekima Sana...."you come with me to see how a plane flies,right?" Mdoli ukakubali.
Pia mama mzaramo anashauriwa asome vitabu vya namna ya kuwa mama Bora.
Wazungu bwana. Shida ilikuwa mama wa kiafrica.

Yaani kokote waliko wafrika ni matatizo.

Angekuwa Mama Mzungu angemkanya huyo mtoto kumwambia aache na angeacha.

Ila sasa hizi ngozi zetu kwambia tu mtoto aache hizo fujo anaona ni ngumu bora kushambuliana na abiria wenzake hadi kulete tafrani.
 
Wazungu wanasolve matatizo Yao kwa hekima Sana...."you come with me to see how a plane flies,right?" Mdoli ukakubali.
Pia mama mzaramo anashauriwa asome vitabu vya namna ya kuwa mama Bora.
Kusoma vitabu mzee
How to win friends and influence people
Nadhani kinahusika hapo
Dogo kachukuliwa kirahisi tu na kesi imeisha
Wenzetu wanasoma sana vitabu na unaona impact yake kwenye maisha halisi
 
Back
Top Bottom