Jurgen Klopp, kila lenye mwanzo lina mwisho!

Jurgen Klopp, kila lenye mwanzo lina mwisho!

kinachoniuzi anapenda machezaji ya kiingeleza wakati ni garasa....juzi Henderson anamkoromea Allison na wakati huyo Hendo ata hajijui anacheza nafasi gani
 
Nimeongea na klop asubuhi kasema labda afukuzwe ila hawezi kujiudhuru
 
Zama za klopp ni kama zama za mwisho za Mzee Wenger pale Arsenal, ni kwamba amefika sehemu ambayo hana mbinu mpya tena za kuipandisha timu ilipo, ni muda muafaka wa yeye kwenda kutafuta changamoto mpya kwingine, kuna timu kama PSG zitamuhitaji
 
Back
Top Bottom