mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Kwa wasio wafuasi au mashabiki wa hii timu wataendelea kuumia sana tuu.JNK bado tunae sana na kwake tunategemea mafanikio zaidi a coming seasonKlopp bado yupo sana pale Liverpool, anahutaji reinforcements tu. Ubaya ni kuwa mnaoumia na kupiga kelele wala sio mashabiki wa Liverpool
MosDef Captain Marvelous mtongwe