Yesu alisema hata kama hamniamini basi niaminini kwa kazi mnazoziona.
Kumbe wazanzibar ni wamoja na wameshikana kindakindaki na ajenda yao ambayo huenda Mama amepanga kuwapatia kama tunu na shujaa wa Taifa lao.
Msikilize Jussa utaelewa ya chini ya kapeti na nyuma ya pazia
View: https://youtu.be/4sYeEs5Vcqk?si=7lotopAjQtW8aG5n
Majinga hapa ni MaCCM ya bara ndio mapumbavu kumbe