Tuko pamoja sana JussaYesu alisema hata kama hamniamini basi niaminini kwa kazi mnazoziona.
Kumbe wazanzibar ni wamoja na wameshikana kindakindaki na ajenda yao ambayo huenda Mama amepanga kuwapatia kama tunu na shujaa wa Taifa lao.
Msikilize Jussa utaelewa ya chini ya kapeti na nyuma ya pazia
View: https://youtu.be/4sYeEs5Vcqk?si=7lotopAjQtW8aG5n
Majinga hapa ni MaCCM ya bara ndio mapumbavu kumbe
Wahakikishe hawabakizi kitu hii awamuMuda wao huu kutamba hututaki kilele tena 2030
Mimi ndiyo maana siipendi ccm na Zanzibar kwa ujumla wake.CCM ndiyo wanasababisha masimango yote haya kwa sisi Watanganyika.
Wewe unafikiri kwa kukaa nyuma ya keyboard na 🆔 fake hizo chukua ziwasaidiaje watanganyika?Mimi ndiyo maana siipendi ccm na Zanzibar kwa ujumla wake.
Umenuna?Wewe unafikiri kwa kukaa nyuma ya keyboard na 🆔 fake hizo chukua ziwasaidiaje watanganyika?
Mbona Una hasira mkuuYesu alisema hata kama hamniamini basi niaminini kwa kazi mnazoziona.