Hamna cha labda, inawezekana sana. Atleast kwangu nwy!!
unakomaa nao kukataa yale mengine ili urafiki uendelee. wakati mwingine tukubali babisa kwamba tunahitaji kubadilishana mawazo na upande mwingine wa shilingi, lakini sasa mambo mengine yakiingia tu mmeshaharibu kila kitu, yanaanza mawivu, mahasira etc na mwisho urafiki unaishia.ha haa unakomaa nao kwa kukataa urafiki?
umepotea saana
hiyo photo ya mgongo mi hoi lol
Boss, hii mada hutapata wanawake wengi wana admit ukweli.Si unajua tena wanawake kwa pretences hutuwezi! lolumeona?
kwa hiyo its natural sio?
wanaume hatupaswi ku feel guilty kuwatamani ma best friends wa kike...
ipo all over kwa kweli..
personal sinaga best friend wa kikeimewezekana kwako
lakini hvo vidume unavyoviita 'best friends'
hujui mioyoni mwao wanakuvua nguo mara ngapi and more wakikutazama kila siku....
hujui......na hiki ndo tunachozungumzia hapa
hata kama hawasemi...
Boss, hii mada hutapata wanawake wengi wana admit ukweli.Si unajua tena wanawake kwa pretences hutuwezi! lol
Hivi mnadhani kwanini dini nyingine zinaweka mipaka baina ya wanawake na wanaume? Mvuto wa asili uliowekwa na muumba kuukabili yataka nguvu ya ziada.Angalia watoto wanapozaliwa hadi wanafikia umri wa kujitambua, utaona "pairing tendencies" na hata utaona ishara fulani fulani kuashiria "mvuto"huu! Najua wanawake wenzangu wengi hujaribu kudanganya ati hakuna kitu au ati ni rahisi urafiki baina ya ke na me bila "mvuto". Nimeona na kushuhudia marafiki wa namna hii, mmoja anapata mvuto wakati mwingine havutiwi na kwa sababu ya kulinda urafiki, yule aliyevutiwa hujikausha kisabuni.Wakati mwingine yule asiyevutiwa, hujua kuwa mwenzie anamzimia, ila kwa vile yeye hana mpango huo, hujifanya hajaona na kwa vile kuna "benefits" fulani hupata na siyo lazima material benefits - hata ile kampani tu, basi urafiki huendelea.
personal sinaga best friend wa kike
kama haja zimika ntazimika tu
ubovu uki take care sana anafikiria vingine
vivyo vivyo akini treat vizuri ntafikiria vibaya
wote niliojaribu waweka karibu kama friends nimekuta nimetafuna aisee
naungana na wewe there is no real 'just a friend'
natamani wadada humu wangefunguka na kusema ukweli kama wewe...
mimi nakubaliana na wewe kwenye watu kujikausha na kuumia kimya kimya.....
huku mwingine akijifanya hajui kumbe tu hataki.....labda au hana uhakika...
labda hukuwa kiwango chake au hakuwa kiwango chakoinawezekana sana tu.nilikuwa nina rafiki yangu wa kiume,amini usiamini nilishibana nae hasa,sikuwa na feelings nae.nilikuwa namuona mshikaji tu.na kwa upande wake ni hivyo hivyo.ila alipopata girlfriend,urafiki nikaupunguza huyo dada asije akanifikiria vibaya.
Black Rose, sidhani kama kuna mwanamke atapingana na wewe kwamba mvuto huwa haupo. mfano mimi nimesema na nitaendelea kusema kuwa mvuto huwa upo lakini cha maana, kama unahitaji huo urafiki, ni kuupotezea. kama mvuto unatoka kwako ni vizuri sana ukajikausha ili mkaka asijue maana akijua tu huwezi kusalimika. kama utatoka kwake theni ni jukumu lako kujilinda. kwa experience yangu wakaka wengi ni waelewa sana, ukimpa reasons za kutosha, na kuendelea kum-treat kama mwanzo kabla hajakuonyesha feelings zake huwa wanaelewa.Boss, hii mada hutapata wanawake wengi wana admit ukweli.Si unajua tena wanawake kwa pretences hutuwezi! lol
Hivi mnadhani kwanini dini nyingine zinaweka mipaka baina ya wanawake na wanaume? Mvuto wa asili uliowekwa na muumba kuukabili yataka nguvu ya ziada.Angalia watoto wanapozaliwa hadi wanafikia umri wa kujitambua, utaona "pairing tendencies" na hata utaona ishara fulani fulani kuashiria "mvuto"huu! Najua wanawake wenzangu wengi hujaribu kudanganya ati hakuna kitu au ati ni rahisi urafiki baina ya ke na me bila "mvuto". Nimeona na kushuhudia marafiki wa namna hii, mmoja anapata mvuto wakati mwingine havutiwi na kwa sababu ya kulinda urafiki, yule aliyevutiwa hujikausha kisabuni.Wakati mwingine yule asiyevutiwa, hujua kuwa mwenzie anamzimia, ila kwa vile yeye hana mpango huo, hujifanya hajaona na kwa vile kuna "benefits" fulani hupata na siyo lazima material benefits - hata ile kampani tu, basi urafiki huendelea.
Hivi hili la kiwango lipo kwa wakaka?labda hukuwa kiwango chake au hakuwa kiwango chako
Black Rose, sidhani kama kuna mwanamke atapingana na wewe kwamba mvuto huwa haupo. mfano mimi nimesema na nitaendelea kusema kuwa mvuto huwa upo lakini cha maana, kama unahitaji huo urafiki, ni kuupotezea. kama mvuto unatoka kwako ni vizuri sana ukajikausha ili mkaka asijue maana akijua tu huwezi kusalimika. kama utatoka kwake theni ni jukumu lako kujilinda. kwa experience yangu wakaka wengi ni waelewa sana, ukimpa reasons za kutosha, na kuendelea kum-treat kama mwanzo kabla hajakuonyesha feelings zake huwa wanaelewa.
walionivutia wote aiseehe he heee wote ulitafuna? lol
mh we mbona naskia ma best frend kibao wamekumega?The Boss, inawezekana.
unakomaa nao kukataa yale mengine ili urafiki uendelee. wakati mwingine tukubali babisa kwamba tunahitaji kubadilishana mawazo na upande mwingine wa shilingi, lakini sasa mambo mengine yakiingia tu mmeshaharibu kila kitu, yanaanza mawivu, mahasira etc na mwisho urafiki unaishia.
Nipo my dear, majukumu tu, ila huwa nachungulia mara moja moja.
Nice topic
wanakutamani ila hawakwambii