Just a friend na matatizo yake.....

Yap, mara nyingi wapya ndo huwa tatizo
au mwingine mwaweza mlikuwa mnafahamiana
lakini hamkuwa karibu sana
mkianza kuwa karibu waweza feel kitu
japo huwa siamini ni 'love'
its kind of a 'lust'

Yeahh most of the time ni tamaa tu. Kma ni mapenzi yangejitokeza kabla hujajimwaga kwa mtu mwingine na sio baada.
 
umesema kweli asilimia ni chini ya tano kwa wale niliokutana nao nakuwaona ni marafiki wengi pamoja na urafiki huwa wanawaza na mengine niwewe kuweka mipaka kwenye yale unayoona hayakupendezi baada ya muda wanakuelewa misimamo yako .
 
hata wanawake
kuna point unamtamani rafiki
hata kama unaipotezea ila umeshamtamani
si wanamme peke yao

umesema kweli asilimia ni chini ya tano kwa wale niliokutana nao nakuwaona ni marafiki wengi pamoja na urafiki huwa wanawaza na mengine niwewe kuweka mipaka kwenye yale unayoona hayakupendezi baada ya muda wanakuelewa misimamo yako .
 
Yeahh most of the time ni tamaa tu. Kma ni mapenzi yangejitokeza kabla hujajimwaga kwa mtu mwingine na sio baada.

yeah...
Ila nadhani wanawake ndiyo chanzo cha yote..yaani ujust a friend kufa.. Wivu unawasumbua...
Mapenzi hamna..lakini unashangaa lust inapotokea..
 
yeah...
Ila nadhani wanawake ndiyo chanzo cha yote..yaani ujust a friend kufa.. Wivu unawasumbua...
Mapenzi hamna..lakini unashangaa lust inapotokea..
Hahahaha wivu mbona hata wanaume wanao bana?
Alafu ukiwa na wivu na mtu jichunguze. . .
Nna rafiki yangu nilifahamiana nae akiwa single na recently kapata mtu wala hainiumi, nafurahi nikisikia anafurahia mahusiano yake na yasipoenda vizuri ntasikitika nae.
 
umesema kweli asilimia ni chini ya tano kwa wale niliokutana nao nakuwaona ni marafiki wengi pamoja na urafiki huwa wanawaza na mengine niwewe kuweka mipaka kwenye yale unayoona hayakupendezi baada ya muda wanakuelewa misimamo yako .
 
there is always a deep love between good friend which does not necessary end up in romance.

nadhani kiasi fulani utakubaliana na mimi kwamba urafiki unapozidi sana na mwanamke kuna hisia fulani huwa zinaibuka
 
...mimi ninao hao 'just friends' tokea opposite sex wengi tu...:A S-coffee:
 
some friends are very hard to find
hutaki kuwapoteza kabisa
sema hata kama ni rafiki wa kiasi gani
lazima uoneshe msimamo wako
kama wa hapana weka clear boundary
kama wa ndio haya napo twende kazi

exactly ..
some friends are like 'gifts'
huwezi tu kumwambia no bila kujali what will happen next....
 
...mimi ninao hao 'just friends' tokea opposite sex wengi tu...:A S-coffee:

na wote hao hakuna aliekupa 'signal' kuwa
anataka muende the next step?
 
Unadhani wanawake haitokei?
Au ikitokea huwa hawasemi?
Wanaipotezea tu
hadi itakapozoeleka

hapa nina mfano ntasimulia siku ingine

ninaomba huo mfano
uni pm kwanza kabla haujaletwa hapa please...
 
'flirts' zinakuwepo,....ila mkishaenda 'next step' ujue urafiki unavunjika...So,
we play within the rules
.

kwani flirts sio mwanzo wa next step????lol
 
kwani flirts sio mwanzo wa next step????lol

...dahh, hapana bana...kwenye mambo haya lazima kuzisoma na kuzingatia
signals bana...otherwise utaishia kuharibu zipu tu...mara ushushe mara upandishe..

...can you share a bed na female friend bila kumsumbua sumbua?...hebu nambie ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…